Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Kwa hiyo wakuandalie program ufundishe hayo matusi ?Pumbavu.
Nadhani sasa umeona tatizo la kichwa chako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wakuandalie program ufundishe hayo matusi ?Pumbavu.
Michezo ina lugha yake.Duh! Mi nafikiria jinsi tusivyojua kuongea kiingereza kwa ufasaha tutawahudumiaje wageni? Kiingereza tu shida, kifaransa si ndiyo itakuwa majanga? Hao watoa huduma kwa wageni wanao muda wa kujifunza kuongea kiingereza na kifaransa kuanzia sasa hadi 2027 watakuwa wanajua kuongea hata kiingereza/kifaransa cha matege inatosha kutolea huduma
Qatar walipeleka kombe la dunia huko, lugha ni kiarabu lakini kiingereza kimo huko kimejaa tele, angalia mashirika ya utangazaji makubwa duniani yako huko Doha, Aljazeera english wame base hukoMichezo ina lugha yake.
Ingekua lugha ni muhimu sana basi kusingekuwa na kombe la dunia linalochezwa almost kila bara.
Lugha sio kikwazo.Qatar walipeleka kombe la dunia huko, lugha ni kiarabu lakini kiingereza kimo huko kimejaa tele, angalia mashirika ya utangazaji makubwa duniani yako huko Doha, Aljazeera english wame base huko
ni uzembe na uvivu tu wa kujifunza kiingereza lugha kubwa duniani inayoongewa na mataifa yote ulimwenguni japo yana lugha zao. Ufaransa, ujerumani, scandinavia yote, uchina, urusi, india na kwingineko wana lugha zao kuu za kitaifa lakini kiingereza kipo cha kutosha. Sisi mtu anamaliza chuo kikuu lakini kuongea kiingereza cha matege tu hawezi, form four si ndio hawezi kabisa hata kuongea english ya kuombea maji. Wageni watakuja na watatapakaa mitaani itakuwa shughuli pevu kuongea nao. Tuanze mapema kujifunza kiingereza na kifaransa hata cha kubabaisha tu wageni wataelewaMichezo ina lugha yake.
Ingekua lugha ni muhimu sana basi kusingekuwa na kombe la dunia linalochezwa almost kila bara.
acheni aibu, shule tulienda kufanya nini wakati kiingereza kinafundishwa kuanzia elimu msingi na hata elimu ya awali halafu mtu anamaliza shule/chuo hajui kuongea?Lugha sio kikwazo.
Tafuta sababu nyingine.
Hatufanyi mtihani wa kingereza tuna host mashindano ya mpira wa miguu.acheni aibu, shule tulienda kufanya nini wakati kiingereza kinafundishwa kuanzia elimu msingi na hata elimu ya awali halafu mtu anamaliza shule/chuo hajui kuongea?
tuta host vipi wakati lugha ya kiingereza/kifaransa hatuijui? Wageni watasambaa mitaani mpaka magegeni kwa mama lishe na wauza kahawa, hapo tutauziaje ugali na kahawa wakitaka?Hatufanyi mtihani wa kingereza tuna host mashindano ya mpira wa miguu.
Bakia na kiingereza chakotuta host vipi wakati lugha ya kiingereza/kifaransa hatuijui? Wageni watasambaa mitaani mpaka magegeni kwa mama lishe na wauza kahawa, hapo tutauziaje ugali na kahawa wakitaka?
we huoni aibu wenzetu kenya na uganda kiingereza si shida kinatafunwa kama maji hadi mitaani? Tujue kiingereza kwa gharama yoyoteBakia na kiingereza chako
Ila mashindano yatafanyika bila tatizo lolote.
Hakuna aibu yeyote.we huoni aibu wenzetu kenya na uganda kiingereza si shida kinatafunwa kama maji hadi mitaani? Tujue kiingereza kwa gharama yoyote
wale kiingereza wanakijua kama chao ndio maana hawaoni aibu kuongea lugha zao. Sisi hatuna mpango na kiingereza tumeridhika na kiswahili chetu. Poa tu ngoja waje wageni tutawauzia ugali kwa kiswahiliHakuna aibu yeyote.
Hii ndio fursa ya kukikuza kiswahili.
Wageni wanatakiwa wajifunze lugha yetu.
Mbona wajerumani, wataliano na wachina hawaoni aibu kuzungumza lugha zao??
Watajifunza kiswahili.wale kiingereza wanakijua kama chao ndio maana hawaoni aibu kuongea lugha zao. Sisi hatuna mpango na kiingereza tumeridhika na kiswahili chetu. Poa tu ngoja waje wageni tutawauzia ugali kwa kiswahili