Kwa 'Customer Care' mbovu iliyoko Tanzania nawaonea Huruma Wageni watakaokuja Kushuhudia Michuano ya Pamoja AFCON 2027

Kwa 'Customer Care' mbovu iliyoko Tanzania nawaonea Huruma Wageni watakaokuja Kushuhudia Michuano ya Pamoja AFCON 2027

Binafsi siomagii hasa role na contribution ya wizara ya michezo ....
Zaidi kuongea
 
Duh! Mi nafikiria jinsi tusivyojua kuongea kiingereza kwa ufasaha tutawahudumiaje wageni? Kiingereza tu shida, kifaransa si ndiyo itakuwa majanga? Hao watoa huduma kwa wageni wanao muda wa kujifunza kuongea kiingereza na kifaransa kuanzia sasa hadi 2027 watakuwa wanajua kuongea hata kiingereza/kifaransa cha matege inatosha kutolea huduma
Michezo ina lugha yake.

Ingekua lugha ni muhimu sana basi kusingekuwa na kombe la dunia linalochezwa almost kila bara.
 
Michezo ina lugha yake.

Ingekua lugha ni muhimu sana basi kusingekuwa na kombe la dunia linalochezwa almost kila bara.
Qatar walipeleka kombe la dunia huko, lugha ni kiarabu lakini kiingereza kimo huko kimejaa tele, angalia mashirika ya utangazaji makubwa duniani yako huko Doha, Aljazeera english wame base huko
 
Qatar walipeleka kombe la dunia huko, lugha ni kiarabu lakini kiingereza kimo huko kimejaa tele, angalia mashirika ya utangazaji makubwa duniani yako huko Doha, Aljazeera english wame base huko
Lugha sio kikwazo.

Tafuta sababu nyingine.
 
Michezo ina lugha yake.

Ingekua lugha ni muhimu sana basi kusingekuwa na kombe la dunia linalochezwa almost kila bara.
ni uzembe na uvivu tu wa kujifunza kiingereza lugha kubwa duniani inayoongewa na mataifa yote ulimwenguni japo yana lugha zao. Ufaransa, ujerumani, scandinavia yote, uchina, urusi, india na kwingineko wana lugha zao kuu za kitaifa lakini kiingereza kipo cha kutosha. Sisi mtu anamaliza chuo kikuu lakini kuongea kiingereza cha matege tu hawezi, form four si ndio hawezi kabisa hata kuongea english ya kuombea maji. Wageni watakuja na watatapakaa mitaani itakuwa shughuli pevu kuongea nao. Tuanze mapema kujifunza kiingereza na kifaransa hata cha kubabaisha tu wageni wataelewa
 
Lugha sio kikwazo.

Tafuta sababu nyingine.
acheni aibu, shule tulienda kufanya nini wakati kiingereza kinafundishwa kuanzia elimu msingi na hata elimu ya awali halafu mtu anamaliza shule/chuo hajui kuongea?
 
acheni aibu, shule tulienda kufanya nini wakati kiingereza kinafundishwa kuanzia elimu msingi na hata elimu ya awali halafu mtu anamaliza shule/chuo hajui kuongea?
Hatufanyi mtihani wa kingereza tuna host mashindano ya mpira wa miguu.
 
Ngoja na mimi niagize tochi nyingi kwa ajili ya kuziuza na vijana wangu kama 100 wa kuziuza mitaani na kwenye viwanja vya mpira maana sio utabiri bali umeme utabaki kuwa ndoto kwetu hata tufanyaje

Hiyo customer care service hakuna tu maana hawajasomea na hata kama walifundishwa utakuta aliewafundisha nae mda wote alikuwa ana chat
Ndio maana wanakuwa na dharau za kipumbavu kila sehemu unazokwenda

La mwisho tunajua kujenga shule na hospitali na sasa viwanja ila hiduma na elimu nada
 
Hatufanyi mtihani wa kingereza tuna host mashindano ya mpira wa miguu.
tuta host vipi wakati lugha ya kiingereza/kifaransa hatuijui? Wageni watasambaa mitaani mpaka magegeni kwa mama lishe na wauza kahawa, hapo tutauziaje ugali na kahawa wakitaka?
 
Mi ninachooangalia ni customer care za mitaani uswahilini, hawa mama lishe na baba ntilie, wauza kahawa, magengeni bila kuwasahau machangudoa na makahaba kiingereza/kifaransa wanakijua? Fursa ya kiuchumi ndio hiyo inakuja, wageni watatapakaa mpaka mitaani kuja kushangilia timu zao. Hawa waswahili wataongea nini kwa wateja wao hao wa kigeni wachukue hela zao kiulaini? Wananchi wahamasishwe mbinu za kuiteka fursa hiyo kwa wageni waache hela. Muda wa kujifunza lugha za kiingereza/kifaransa pamoja na customer care upo wananchi wafundishwe ili wavune hela za wageni kwa wingi
 
tuta host vipi wakati lugha ya kiingereza/kifaransa hatuijui? Wageni watasambaa mitaani mpaka magegeni kwa mama lishe na wauza kahawa, hapo tutauziaje ugali na kahawa wakitaka?
Bakia na kiingereza chako

Ila mashindano yatafanyika bila tatizo lolote.
 
Bakia na kiingereza chako

Ila mashindano yatafanyika bila tatizo lolote.
we huoni aibu wenzetu kenya na uganda kiingereza si shida kinatafunwa kama maji hadi mitaani? Tujue kiingereza kwa gharama yoyote
 
we huoni aibu wenzetu kenya na uganda kiingereza si shida kinatafunwa kama maji hadi mitaani? Tujue kiingereza kwa gharama yoyote
Hakuna aibu yeyote.

Hii ndio fursa ya kukikuza kiswahili.

Wageni wanatakiwa wajifunze lugha yetu.

Mbona wajerumani, wataliano na wachina hawaoni aibu kuzungumza lugha zao??
 
Hakuna aibu yeyote.

Hii ndio fursa ya kukikuza kiswahili.

Wageni wanatakiwa wajifunze lugha yetu.

Mbona wajerumani, wataliano na wachina hawaoni aibu kuzungumza lugha zao??
wale kiingereza wanakijua kama chao ndio maana hawaoni aibu kuongea lugha zao. Sisi hatuna mpango na kiingereza tumeridhika na kiswahili chetu. Poa tu ngoja waje wageni tutawauzia ugali kwa kiswahili
 
wale kiingereza wanakijua kama chao ndio maana hawaoni aibu kuongea lugha zao. Sisi hatuna mpango na kiingereza tumeridhika na kiswahili chetu. Poa tu ngoja waje wageni tutawauzia ugali kwa kiswahili
Watajifunza kiswahili.
 
Back
Top Bottom