Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

Aisee unaandika vitu viiingi hata sijui unavitoa wapi. Pombe/bangi vinaongeza confidence, wanywe/wavute/wasinywe/wasivute haibadili hio fact.
 
Aisee unaandika vitu viiingi hata sijui unavitoa wapi. Pombe/bangi vinaongeza confidence, wanywe/wavute/wasinywe/wasivute haibadili hio fact.

Tafadhali siko hapa ku-discuss false courage ya vilevi...

Kuhusu fact...
Ni fact kwamba hivyo vitu vinamfanya mtumiaji apungukiwe uwezo wa kujizuia, lakini "sio fact" kwamba ndio vimewaongezea confidence hawa vijana! Goodbye!
 
Seems like unawajua hao vijana personally.
 
Trauza chupa
Mimi nimekulia arusha, currently naishi Arusha. Sisemi kwamba kuvaa ivyo ni sahihi au sio sahihi. Ninachoamini ni kwamba kila mtu anatakiwa kuishi maisha yake halisi na kufanya kile anachokipenda. Sometimes mavazi fulani yanaweza kuanzishwa yakawa sehemu ya utamaduni na modifications fulani fulani kuwepo ili kuboresha utamaduni huo. Cha msingi ni kuwa original, na kuishi maisha tunayoyapenda. Fake people have an image to maintain, really people just don't care. Think big....[emoji4]
 
Huyo namfahamu ana chuki za kiasili na mkoa wa Arusha hana mathara yoyote ni mvimba macho wa kawaida tu.

[emoji817]
 
Huyo namfahamu ana chuki za kiasili na mkoa wa Arusha hana mathara yoyote ni mvimba macho wa kawaida tu.

[emoji817]
Wewe unanifahamia wapi? Chuki na watu wa arusha?! Pathetic...nina marafiki na ndugu wengi arusha. Fyi nafanya biashara na watu wa Arusha sana ukitoa wa Dar.
 
Afu wanajionaga wanjanja saana.....kumbe wabovu tu [emoji23][emoji23]
 
Umu kuna watu wakitaka kutafuta kiki wanaanza kuipondea arusha. Wengine hawajawai hata kufika, ila wanaporojo nyingi kwel.
 
Huyo namfahamu ana chuki za kiasili na mkoa wa Arusha hana mathara yoyote ni mvimba macho wa kawaida tu.

[emoji817]
Sema nini, yeyote aliye dis humu najua habari imemfikia. Haina kunyuraa! Bushori ndio nembo, all Star ndo logo. Afu tunakimbizaga tu, hatuangalii makunyanzi ya raia usoni.
 
Ujinga uko wapi na wewe mjuaji?! Au ulitaka wajipodoea ka dada zako!?bab lai kama mambo upendi si basi aisee....hauja lazimishwa...wanaishi wapendavyo
 
I miss home sweet home.
Kuvaa skin,travolta/Snickers, kisweta flank na skaf.
Kama nipo mbele vile...
Daaaah!
Huku Dsm hadi msimu wa mvua...thou nowdays hata baibui navaa na snickers.
It's all about fashiooooon [emoji108]
Ndo maana mjanja....kumbe kitu cha ara.... Ebu kula[emoji109] [emoji109] [emoji109] ....watupishe huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…