kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Ha ha haa!..watu wana chuki tu na wivu.Hapo vipi?![]()
![]()
![]()
Najua sababu ya hawa ni weupe utawasifia na hizo oversized
[emoji817]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haa!..watu wana chuki tu na wivu.Hapo vipi?![]()
![]()
![]()
Najua sababu ya hawa ni weupe utawasifia na hizo oversized
[emoji817]
Ha ha haa!..machalii wa bongonyoo ngaleloo![]()
![]()
[emoji817]
Mkuu unajua losaaYes kumbuka sana home land mimi
HahahahahaWote wamevaa oversize shoes...
Alafu viatu vyao vime nyenyuka kwa mbele kama meli...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Exactly,hapo ukute ana pikpik sjui katoboa eksoz inatoa sauti kubwa,afu mikogo mingi sana,noma sana hawa majamaa![]()
![]()
[emoji817]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nasikia hivyo viatu ukipita baharini unaelea kama Yesu.
Ila arusha bhana,vjana wa kule huwa wanaswaga zao za kpekee,afu ktu nilichokpenda kula,kdume akgundulika ni shoga watamsaka na atakula mikwaju ya kutosha,sio kama dar mashoga ni watu huruHapo vipi?![]()
![]()
![]()
Najua sababu ya hawa ni weupe utawasifia na hizo oversized
[emoji817]
Aisee kule ni nenda kwa usalama watu hawataki mambo ya kijinga nawapenda sababu wana ile solidarity wanakumbatia wanachokiamini mpaka unashtuka alafu watakilinda kwa nguvu zote na kujivunia chao.Ila arusha bhana,vjana wa kule huwa wanaswaga zao za kpekee,afu ktu nilichokpenda kula,kdume akgundulika ni shoga watamsaka na atakula mikwaju ya kutosha,sio kama dar mashoga ni watu huru
Unauliza halafu unanijibia wewe.Hapo vipi?![]()
![]()
![]()
Najua sababu ya hawa ni weupe utawasifia na hizo oversized
[emoji817]
Ha ha haa!..si unaona wamehitimu hapo wanapata shule kwanza hawana masihara na kitabu.kaka yao nick wa pili ana masters anatafuta PhD sasa wanafuata njia.Kitu kimoja wanacho nishangaza.....up stairs wako vizuri. Wako well informed. Tena siyo information kama za 'WASAFI' wa Makonda, maisha Wema Sepetu. Chalii ya Chuga ina information za maana na weledi.
Si bora huku ni bangi na viroba na bado raia gado,kuliko vijana wenu huko dar,mtt wa kiume unashindwa kumtofautisha na dada ake,nice mnajivunia vijana wenu like [HASHTAG]#james[/HASHTAG] deliciousarusha ni kwa hovyo hovyo sana wao ni ugoro bangi na viroba tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli Machalii wanaonekana wamewekeza sana kwenye elimu wanatekeleza kauli mbiu kwa vitendoHa ha haa!..si unaona wamehitimu hapo wanapata shule kwanza hawana masihara na kitabu.kaka yao nick wa pili ana masters anatafuta PhD sasa wanafuata njia.
Mkuu unanibamba., tuishie hapo kwani tutajuana kabisa halafu ile maana ya kuhide identity yako humu itapoteaMkuu unajua losaa
Unakuta amejining'iniza hapo juu ya xlr (sio toyo) exost inatoa mngurumo kama kiwanda cha kuvunjia miamba amevaa ndula kubwaa hiyo pose aliyokaa hapo juu ya bike utasema amesinziaExactly,hapo ukute ana pikpik sjui katoboa eksoz inatoa sauti kubwa,afu mikogo mingi sana,noma sana hawa majamaa
Alafu wanathani hii style imeanza leo hii ipo tokea miaka ya 90 inaenda ikiboreshwa tu mtu amepiga pamba zake yeye mwenyewe anajiona ametoka babkubwa nashangaa mtu wa pembeni anamaind lifestyle ya mtu mwingine.Free spirited... you gotta love 'em kwa kweli. Sioni kwanini watu wengine hapa wanatoa mapovu kisa tu nguo za hawa vijana...eti makoti ni oversize, sijui eti skintight...yeye mwenyewe ana-feel comfy, sasa wewe unayemuangalia ni maumivu gani haswa unayoyapata? ni ya mwili au ya roho?
Tena vijana wenyewe basi wako kwenye graduation party, meaning kwamba wamehudhuria mafunzo/chuo na wamekaa huko mpaka mafunzo yakamalizika na sasa wametunikiwa hati za kumaliza mafunzo...
Acheni hizo bana, mapovu yetu yaelekezwe kwenye maumivu kama ya IPTL, Escrow, ukosefu wa madawa, mbio za mwenge et al.,
Hiyo cio akili ya .wanadmu wa kawaida hio ni bange,viroba gozo,mirungi,ugolo hakuna akili nzuri hapo ndo mana kule rombo yanakunywa sana gongo,mi sinmekaa nao sana mpaka nami nkaa natumia gpngo na bangi ,yani arusha zito kabisa miaka ishirin mbele arusha haitakuwa na watu wenye akili timamu kama kina lema n.k vijana wanaharibika hlf nyie ndo mnaona siifa wakifnya akil za bangi ngoja mpigwe gepu na mikoa mingine ynye watu weny kujitambua