David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
mambo ya kiboga yameingiaje hapo kiongozi?twende kwa hoja na sio kejeli.hayo ni maoni yako mkuu,sijaona upumbavu wowote hapo,kama wako hawatavaa hvyo lakini wakaliwa kiboga lipi bora??,ujana tu huo,zama zao zikishapita wataacha,au ulitaka waje kuvaa hivyo uzeeni nn?
Naona mnasifia visivyo na maana naona mnawaponda wa mikoa mikoa mingne kuwa washamba,kuvaa hivyo msisingizie kuwa ni ujana,binafs nimekulia arusha lakini wanao vaa hivyo asilimia kubwa ni hawajaelimika,umewahi kuwaona joh makini,nikki2,gnako,jcb,chindo wamevaa huo upuuzi?
kama kuvaa hivyo ni ujana wewe steveachi unaweza kuvaa hivyo.
Naelimisha vijana wenzangu twende na wakati tutafute fursa tuache usela mavi,muda hautusubiri tubadilike.