Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

Huwa wanakuwa hivi wakiwa kwao......wakishaingia mjini...wanagundua kuwa ulikuwa ni ushamba kupitiliza...............
Ba.nge hatareeeee............
Niliwaona wengi wakija first year na hizi swaga(tena wanatembea kimakundi makundi...kama nyumbu)....baadaye wanajuta na kubadili mazingira....na ushamba wenu huko huko.......
 
"ARUSHA kuna uvaaji mzuri sana kulinganisha na der esalam"…. Salama jabiri
83832bb234097c90433126b48a754c24.jpg


Kwa hiyo Lema kajulia kuvaa Dar siyo🙂
 
Safi sana... Kwa hii fahion statement mie nimewa- deifine kama watu ambao hawaendeshwi kiholela ama kuburuzwa buruzwa... Kwa maono yangu, hii fasion sense yao inatupa ujumbe kwamba hawa ni watu wanaoweza kujiamulia mambo yao wenyewe wanayoyaona yana heri na yanayofaa... Inaonyesha hawafanyi mambo kwenye maisha yao kwasababu tu eti nani kasema au kwasababu flani anafanya... Nawaona kama sio watu wa kufuata mkumbo wala kuigaiga mambo.
Kwanza kwa ile hali ya hewa ya kule ni lazima mtu uvae hizo nguo za baridi, ila machalii wametupia pia hapo statement ya personality yao.
 
Back
Top Bottom