Kwa Dar wapi naweza pata hii bidhaa (Vr Box)?

Kwa Dar wapi naweza pata hii bidhaa (Vr Box)?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Nimeona tangazo lake mtandaoni na nikaipenda ghafla.

Mwenye kufahamu duka naweza pata huu mtambo nipe msaada.

Mtambo unaitwa VR Box

images (31).jpeg
images (2) (1).jpeg
images (30).jpeg
Screenshot_20240730-214549.jpg
 
Kuna za kuweka simu kwa ndani mfano cardbox alichosema mtoa mada hapo juu, au zenye screen ndani mfano za Apple.

Kabla hatujajitesa, unataka za nini?
 
Alafu na kwa
MWENYE KUJUA SEHEMU NAWEZA NUNUA SEXY TOYS (ILE MIDOLI YA NGONO aje PM maana nasikia zinauzwa kama madawa ya kulevya
 
Johnny English Mr bean alivaa hiyo kilichotokea balaa🤣
 
Back
Top Bottom