Kwa Dar wapi naweza pata hii bidhaa (Vr Box)?

Kwa Dar wapi naweza pata hii bidhaa (Vr Box)?

28-90,000 tu kkoo. Inategemea unataka ipi.
28,000
45,000
55,000
90,000
Andaa pesa zama ukiwa na hela hiyo mfukoni kavute unachotaka.
 
Uko serious wataka tuu kujua wapi inauzwa na bei wanayouza..

Weka specifications zako na ofa yake watu wakusaidie
 
Mpigie O612O48214 anauza 45,000/= uenjoy VR Porno
 
Back
Top Bottom