Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

Kwa dharau anasema vijana tujiajiri. Mitaji na masoko iko wapi? Yeye alipokuwa hajalamba uwaziri alithubutu kujiajiri? Patrobas Katambi anadharau sana

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hii ni kebehi na dharau sio kwa lugha kama hii
👇
Screenshot_20220620-202053.jpg
 
Basi wewe endelea kusubiri ajira ya serikali wakati vijana wenzio wanapambana kujitafutia maisha. Utabaki hivyo hivyo unalialia forever.
 
Siku tukitoa CCM madarakani. Hakuna mtoto wala mjukuu wa mtu aliyekuwa kiongozi atagusa ofisi au mamlaka yoyote wataishi kama raia wa kawaida hila privilege.

Mark my words.
 
Alichosema ni sahihi though. Serikali haiwezi kuajiri kila kijana.
Wanaweza. Hii inchi inafeli sababu ya usimamizi mbovu na sera mbovu za CCM ambazo haziendani na nyakati hizi.

Hili taifa ukimpa Elon musk, matumizi sahihi ya rasilimali kama maziwa, bahari, ardhi, misitu, anga, yatazalisha ajira ya kuajiri vijana wote ambao ni nguvu kazi kwa asilimia 250% maana yake itaweza kuajiri idadi mara mbili na nusu ya vijana waliopo tz.
 
Back
Top Bottom