Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Positivity ndio maisha mzee muda mwingine unaweza kuta anatania alafu wewe ukaishia kumtoa ngeu.
Wanawake ndio walivyo wazoee tu au watakukimbia wote na ukose mke.
 
Bora umeghairi mkuu, hujafikia level ya kuoa. Subiri muda upite ukomae kwanza

Hakuna ishu ya kukufanya ughailishe kitu kama ndoa Kwa jibu lake Hilo. Ni either hujatosha kuwa mume na baba wa familia au hukuwa umempenda Manka
 
Alitakiwa kusikiliz ujumbe uliomo ndani maama hata kama sio mziki mzuri anaopenda angalau angejali hisia zako.
 
Asante mkuu. Mwenye masikio na asikie.
 
Alitakiwa kusikiliz ujumbe uliomo ndani maama hata kama sio mziki mzuri anaopenda angalau angejali hisia zako.
Kabisa mkuu na huo ujumbe unatugusa sana maana tuna long distance relationship ya muda sana ila bado ananiganda na kunambia ananipenda sana.

So hiyo ilikua kama dedication ya kujua naamini kuna siku tutaonana ila yeye hajajali chochote zaidi ya kuleta dharau.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Kashakutana na mashalo balo wa mjini wanampa dedication za Rihana we unaonekana wa mwaka 47🤣
 
Bora umeghairi mkuu, hujafikia level ya kuoa. Subiri muda upite ukomae kwanza

Hakuna ishu ya kukufanya ughailishe kitu kama ndoa Kwa jibu lake Hilo. Ni either hujatosha kuwa mume na baba wa familia au hukuwa umempenda Manka
Kupotezea vitu kama hivyo badae ndo kuleta maafa

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Una miaka mingapi phalangu[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…