Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Ni kweli,lakini dedication ni kipimo tosha huyo mtu anakuwazia nn time hiyo....mfano akikutumia song Akinipenda mama inatosha[emoji3061]unajua ndo imeisha hiyo au nasema uongo jirani yangu Smart911 ?
Kama nyimbo hazina maana kwenye mahusiano basi hakuna haja ya kutungwa.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Sasa kosa lake liko wapi kwani ni uongo nyimbo ya zamani.. Afu mapenzi bila kuzoeana hayana maana mtu asijoke ni tatizo [emoji23][emoji23]

Manka hana shida shida ni wewe
 
Mimi kuna mmoja aliniita mlugaluga na kama haitoshi akaniita mshamba..na kama haitoshi akanipa block kwenye simu[emoji16][emoji16]........nikajisemea tu hewalaaa na mimi nikaweka block, nikakata mazoea , naona alitaka nimnyenyekee na kumbembeleza...alivyoona sina muda nae akapanic......njlimuambia sentensi moja tu ambayo inamuumiza mpaka leo "nilikupa nafasi ukashindwa kuitumia"
Sasa kauli kama hii eti wadau watakwambia upotezee haina sababu za kuvunja mahusiano.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Kwa vyovyote vile alikuwa anakupenda sana lakini wewe ulitaka kumtumia gadem zako.

Sasa umesaka sababu ukakosa na sasa unaona sababu ishapatikana.

Hili nalo mkaliangalie
Hata kama ananipenda sasa ila hiyo ni ishara ya zile tabia za ndani alizonazo.

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom