Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Asikudanganye mtu mkuu..zama hizi za kizazi cha nyoka kuna mwanamke anaweza kujifanya anakupenda ila anakuja akiwa na missions maalumu mojawapo ni kukuharibu kisaikorojia au kukuharibia mambo yako..kuwa makini sana.....ukihitaji ushauri kuhusu mwanamke muulize mwanamke mwenzie sababu huwa wanajuana
Hakika mkuu

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu

Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno.

Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana nimeona ana dharau hata kama anajifanyaga ananipenda sana.

View attachment 2353965

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Hayo mapenzi ya kutumiana nyimbo yalikuwa ya mwaka 1947 huko ndio Maana amekushangaa
 
Kwa mimi binafsi sijaona shida yoyote wala kosa lolote hapo
 
ulichofeli kutambua ni kwamba mziki ni hisia kwahyo kwako unaweza ukawa mzuri ila kwa mwingine sio mzuri kwahyo acha utoto huna uwezo wa kuoa ndo maana unaahirisha we endelea na nyeto inayokupa kiburi siku ukishindwa hata nyeto utarudi kuomba ushauri.
 
Aaf skuhzi hatudedicate nyimbo tunatuma miamala minono kwan yy hawez kudownload nyimbo apendazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana msiojua mapenz yanaendaje upendo ni kujali na kujali ni kutimiza ndoto zake kwa kumpa pesa sio nyimbo
 
Back
Top Bottom