Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Relax mkuu ndio kuzoeana huko...ukiweka Maisha serious Sana utakuwa unaumia kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23] vipi na yeye asichukulie serious kwenye vijishida vyake vidogovidogo kama nywele, kucha n.k, hapo situtaendana fresh. Yaani no seriousness kwenye miamala ili maisha yawe simple zaidi. Long distance relationship ni kazi wewe usiambiwe!
 
Hapo umetoka nje ya mada.....jamani vi utaniutani na kuzoeana kunaongeza ladha ya mapenzi.
 
Habari wakuu

Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno.

Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana nimeona ana dharau hata kama anajifanyaga ananipenda sana.

View attachment 2353965

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Kitu kikubwa nilichokiona mkuu
1. Nyie sio marafiki mlio shibana
2. Hamjania mamoja [ compactibility] hamjakubaliana
 
Hapo umetoka nje ya mada.....jamani vi utaniutani na kuzoeana kunaongeza ladha ya mapenzi.
[emoji23][emoji23] haya sister, hicho kitu ni ukweli. Ila usijaribu kumtania mtu ambaye hujaongea naye kwasimu kwanza kujua kaamkaje. Wakati mwingine watu wanaamka upande wakushoto wakitanda.
 
Kumbe anaitwa manka jiandae kupigwa na kitu kizito kichwani
 
Habari wakuu

Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno.

Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana nimeona ana dharau hata kama anajifanyaga ananipenda sana.

View attachment 2353965

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
We jamaa umenichekesha sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bora umeghairi mkuu, hujafikia level ya kuoa. Subiri muda upite ukomae kwanza

Hakuna ishu ya kukufanya ughailishe kitu kama ndoa Kwa jibu lake Hilo. Ni either hujatosha kuwa mume na baba wa familia au hukuwa umempenda Manka
Nyie mizee mnawafelisha mno vijana
 
Habari wakuu

Me kiukweli nadhani sitaoa maana niko sensitive mno.

Imagine kitendo cha huyu shingo kukejeli dedication yangu ya huu wimbo nlomtumia, nimehairisha mipango yote juu yake maana nimeona ana dharau hata kama anajifanyaga ananipenda sana.

View attachment 2353965

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app

We nae mwanaume mzima una gubu asa hapo nini cha kukasirika … mbona hiyo conservation ya mdada inaonesha anakutania tu heee

Mimi kama mimi siwezi kuwa na mwanaume wa aina kama yako ambao vitu viduchu kama hivyo ambavyo haviitaji kuchukuliwa serious we unavileta mpk Jf

Wa ajabu wewe
 
Kuna kitu aliongea mwishoni akamalizia na neno "mie nawe" ndo nkamwambia kuna wimbo unaitwa hivo naupendaga ngoja nikutumie

Hilo ndo likawa jibu lake baada ya kuusikiliza

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Upo sahihi
Hata kama haupendi angekwambia mzuri ila sio mpenzi wa old school
Hapo juu watu wanakwambia pesa pesaa
Hivi ukioshi na mtu ni pesaa tu??
Hamna mambo mengine
Sikuliza moyo wako
 
Mkuu mbona mambo mepesi sana hayo? Mwanaume hutakiwi kuwa too sensitive na kama umeumia either utasema au utapotezea tu.

Kwenye hiyo situation ingetegemea ila kama nimepanga kumuumiza basi ningemwambia "labda sababu sura yako ni kama ulizaliwa mwaka 47" hii sentensi fupi ingemuwinda mwaka mzima. Na kama nimepanga kupotezea basi ningemwambia "kwa ajili yako ningefanya chochote ikiwemo kwenda kununua pete mwaka 47" then imeisha hiyo maisha yanaendelea.

Jifunze kuwa adaptable na kuimprovise mambo au maisha yatakuwa magumu sana kwako mzee, hasa kwa akili za wanawake na mkiwa ndani ya ndoa. Alafu huyo kwa mwandiko wake lazima atakuwa mlokole sio romantic kabisa.
Huyo dada ana dharau.
Simple
Hivi kweli mtu unaempenda na kumueshimu unaweza mjibu hivyo?
 
Back
Top Bottom