Jana Ulirudi Usiku
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 2,360
- 2,269
Aibu hii jamaa anatetea wanawake halafu anakosolewa na hao hao wanawakeSorry dear
Sio wanawake wote
Mi naelewa mtoa mada anasema nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aibu hii jamaa anatetea wanawake halafu anakosolewa na hao hao wanawakeSorry dear
Sio wanawake wote
Mi naelewa mtoa mada anasema nini
Wanaovumilia acha wavumilie me siwezi.Huyo dada ana dharau.
Simple
Hivi kweli mtu unaempenda na kumueshimu unaweza mjibu hivyo?
Binafsi siwezi ila inaweza isiwe dharau bali bado ni mtoto mwenye akili za kitoto.Huyo dada ana dharau.
Simple
Hivi kweli mtu unaempenda na kumueshimu unaweza mjibu hivyo?
Labda sababu mara nyingi huwa nadeal na early twenties, hivyo unaweza kuwa sahihi.Sorry dear
Sio wanawake wote
Mi naelewa mtoa mada anasema nini
Oi! seriously umetumia neno "aibu"..?Aibu hii jamaa anatetea wanawake halafu anakosolewa na hao hao wanawake
Unaona tungo hizo afu mtu anadis wazi wazi.Mbali we upo, masikitiko.
Ni mawazo, ma siku zote.
Machozi ya damu, inamwagika.
Mi nakupenda, mpaka milele.
Miye nawe mpaka milele*4
Kama manka anataka umtumie Buga, acha kudate na watoto.
Sio mtoto kwanza ni single mother kabisa.Binafsi siwezi ila inaweza isiwe dharau bali bado ni mtoto mwenye akili za kitoto.
Wasichana wengi wadogo huwa ndio majibu yao hayo.
Hata hivyo huwa si-mind vitu vidogo kama nia yangu haijakamilika na hakuna future.
Ana dharau.Upo sahihi
Hata kama haupendi angekwambia mzuri ila sio mpenzi wa old school
Hapo juu watu wanakwambia pesa pesaa
Hivi ukioshi na mtu ni pesaa tu??
Hamna mambo mengine
Sikuliza moyo wako
Sawa ishi na ambao wanaweza potezea upuuzi wako.We nae mwanaume mzima una gubu asa hapo nini cha kukasirika … mbona hiyo conservation ya mdada inaonesha anakutania tu heee
Mimi kama mimi siwezi kuwa na mwanaume wa aina kama yako ambao vitu viduchu kama hivyo ambavyo haviitaji kuchukuliwa serious we unavileta mpk Jf
Wa ajabu wewe
Mwanaume lazima uwe na principlesUmeoveract, vitu vidogo sana hivi kumuacha mtu. angekua mlupo kweli
Muambie aache ushambaSawa ishi na ambao wanaweza potezea upuuzi wako.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Hiyo sio dharau labda kama mnaishi kama wajeda hamna masiharaMwanaume lazima uwe na principles
sitaki dharau zozote
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Technically mwanamke utamjua siku ya kwanza mpaka wiki baada ya kukutana nae kama ana dharau au hana au ana akili za kitoto na vinginevyo.Sio mtoto kwanza ni single mother kabisa.
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
Ni single maza halafuHivi kabisa unategemea maisha ya mapenzi mapenzi kutoka kwa akina Manka?