Kwa dharau hizi, nimeahirisha kumuoa

Sikuhizi mademu wengi akili ndogo wanakujaga kukomaa akili pale miaka imesha songa na uzuri ushapotea.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mbona huyo Binti Hana shida. Ila mwenye shida ni wewe.

Ukisoma tu hizo chatting unaelewa kabisa, manka ametania. Hana maana mbaya

Ukichukulia Kila kitu serious kwenye mahusiano, utateseka vibaya mnoo..
Ina Mana mnaishi bila utani wowote?. Hayanogiiii
 
Hapana flow ya chats zetu ilikua nzuri tu ghafla akajibu hizo shombo

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Mbona Kama Manka wangu huyu was mbezi makonde ?! Mkuu tafadhali
 
Ndio kujuana zaidi (mahusiano), endelea kumjua anapendelea au hapendelei nini. Inachukua muda, uvumilivu na kutokata tamaa kirahisi. Na hii ni kwenu wote, hivyo mliongelee (mawasiliano).
 
Kuna kitu Singasinga haujaelewa huyu demu ni kama kakutania tu, hata ukiangalia meseji zake zimekaa tu kiutaniutani she was not seriuos.

Unataka uniambie ikiwa tu kukataliwa kwa dedication inakufanya umuache mchumba wako, ndoa utaiweza kweli maana huko kuna kila aina ya kukosana na kukwazana mkuu

Umesema wewe ni sensitive sana punguza huo usensitive ili uyaweze maisha ya ndoa la sivyo ndoa itakushinda mapema sana
 
Ukiona hivyo ameona hauna cha kumpa. Wewe muonyeshe vitu anavyopenda avione kwako utashangaa anakutext anasema "hapa nasikiliza ule wimbo wako ulionitumia mzuri balaa nimeupenda"
 
Ila hiyo ngoma kali sana. Nakumbuka hiyo nyimbo nilikuwa moshi nimelala na my wangu kaja kunitembelea. Ilikuwa ijumaa usiku, hiyo ngoma nikawa naisikia kwenye spika inapiga unajua kale kasauti kwa mbaaali kwenye mazingira ya ukimya ya moshi eneo ambalo hata ukidondosha sindano uanisikia hapo chumbani unaiskia wimbo unakuchukua Hisia zako kwa nguvu sana.

Nikamtia busu kwanza mtoto pembeni nikamfunika vizuri nikamkumbatia tukaendelea kulala.

Mahaba bwana haya. Halafu unakuta mbweha inachagua kuharibu mahusiano sababu hakuna hela.
 
Umesawazisha vizuri sana ndugu mtaalamu
 
Hebu naomba kwanza uuweke hapa huo wimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…