Kwa Diamond na Alikiba

Kwa Diamond na Alikiba

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
390
Daimond alivyombwaga wema na kutoka na zari ndio chanzo cha matatizo, Team wema wakiongozwa na ma-ex wake Daimond Inawauma mpaka kumoyo. Dai angetoka na mwanamke wa kawaida ambae wema angejihakikishia kurud kama ilivokua kwa Penny sizani kama kelele zingekua hivi, sasa Zari ni maji marefuu mbaayaa, Wema hayawezi,na hicho kitendo Wema kinamuuma mpaka basi.

Ndiyo maana hata uko insta anafight mpaka basi na kutengeneza account fake na kutaka kumkomoa Diamond lakini wapi patupu.,, Wema siyo wa kumkampenia Kiba jamaniii, ni maumivu ya moyo ndiyo yanayomsumbua. wema anampenda sana DAIMOND.

Diamond na Alikiba wao binafsi hawana beef lolote, hata mameneja wao walishaliongerea mara kadhaa,.
Tatizo ni sisi mashabibiki na team zetu ndio tunakuza mambo,

Wenzenu wanaingiza siku, nyie kutwaaaa kusigina figisufigisu zenu (copy & pst)
 
Ndugu yangu, siku nyingine ukitaka uzi wako watu wauchangie basi mponde au msifie alikiba au diamond
 
ngoja watumwa wao waje....patakua hapatoshii[/QUOTE}Mimi ni mtumwa wa DIAMOND na sijali ukiniita hivo hata ukinikuta jukwaa lolote niite tu nitaitika. wao ndo wamedhihirisha roho zao kwamba wanachuki na DIAMOND mwanzo tulipokuwa tunasema kuwa tunaambiwa kuwa tunawalazimisha kumpenda msanii wasiyempenda, lakini sasa imedhihirika kile tulichokuwa tunakisema wanaposema TUMPIGIE KURA DAVIDO NA SI DIAMOND hii ni kauli ya chuki. mimi pamoja na kwamba ni shabiki wa DIAMOND lakini Kiba akifikia hatua ya kutaka kura kwetu wtz za nje siwezi kutoa kauli za hivi ni bora kukaa kimya sitapungukiwa na kitu hata kiba mwenyewe anaanza kuwaogopa hao wanaojiita mashabiki wake yeye mwenyewe hawezi kutoa kauli za hivi
 
Kiba anadada yake humu anaomba watu wawapigie kula wa nigeria kwa hiyo bifu amejaza kiba, Diamond ni mweupe rohoni.

Anamtikana sana Diamond, tuxo walipata bado halali sasa hao kweli wanamtakia mema D?

Si wanataka kupaa, si wanataka kuongoxa hawajui kuwa Mungu analipa hapa hapa duniani.
 
Njoo huku sasa teacher kilaza kule kumefungwa

Nilikuwa busy naandika gazeti kama kawa lakuwasema hao wanafiki wa nchi, duh narusha imefungwa.

Haya big up kwako na Dinazarde kwa kusimamia haki ya muimbaji Diamond Platnumz anayeongoza Tanzania maana ni wa kimataifa.
 
Last edited by a moderator:
Leo nimeshuhudia matusi ya cute b mpaka nimeona aibu mimi. Pana tatizo katika malezi, yaani kama chokoraa flan hivi.
 
Nilikuwa busy naandika gazeti kama kawa lakuwasema hao wanafiki wa nchi, duh narusha imefungwa.

Haya big up kwako na Dinazarde kwa kusimamia haki ya muimbaji Diamond Platnumz anayeongoza Tanzania maana ni wa kimataifa.

Haaaaaa we kama mimi nakuja nakuta page 40 nikawa nasoma kuanzia nilipoishia sasa ile nataka kum quote mtu nakuta thread closed kufuli kubwaa
 
Last edited by a moderator:
wanasemaga wivu wa mapenzi mbaya sana...
kukomoana ndo habari ya mjini...!!
mmoja kamwaga mboga,mwingine kamwaga wali na maji ya kunawa!!

hawana beef ila wanaogopana hao hatarii...!!
 
Mbali na kuwa majimarefu kaamua na kuzaa kabisa zari buana kwi kwi kwi....upande wa king sio vibaya akifanyiwa women empowerment wanawake wakiamua wanaweza!!
 
Daimond alivyombwaga wema na kutoka na zari ndio chanzo cha matatizo, Team wema wakiongozwa na ma-ex wake Daimond Inawauma mpaka kumoyo. Dai angetoka na mwanamke wa kawaida ambae wema angejihakikishia kurud kama ilivokua kwa Penny sizani kama kelele zingekua hivi, sasa Zari ni maji marefuu mbaayaa, Wema hayawezi,na hicho kitendo Wema kinamuuma mpaka basi.

Ndiyo maana hata uko insta anafight mpaka basi na kutengeneza account fake na kutaka kumkomoa Diamond lakini wapi patupu.,, Wema siyo wa kumkampenia Kiba jamaniii, ni maumivu ya moyo ndiyo yanayomsumbua. wema anampenda sana DAIMOND.

Diamond na Alikiba wao binafsi hawana beef lolote, hata mameneja wao walishaliongerea mara kadhaa,.
Tatizo ni sisi mashabibiki na team zetu ndio tunakuza mambo,

Wenzenu wanaingiza siku, nyie kutwaaaa kusigina figisufigisu zenu (copy & pst)

Some TRUTH..!
 
Mbali na kuwa majimarefu kaamua na kuzaa kabisa zari buana kwi kwi kwi....upande wa king sio vibaya akifanyiwa women empowerment wanawake wakiamua wanaweza!!

ndo habari ya mjini hyo
penye kila mafanikio ya me kuna ke pale ujue...!!!!
adui wa adui yako ni rafki yako..!!

eve nimejikuta nampenda wema ghaflaa...
 
ndo habari ya mjini hyo
penye kila mafanikio ya me kuna ke pale ujue...!!!!
adui wa adui yako ni rafki yako..!!

eve nimejikuta nampenda wema ghaflaa...
Mpende sana akipata ubunge anaweza akakuchomeka kwenye idara yoyote huezi jua ha ha ha mi nlikuaga shabiki wake zamani nkaona ananikanyagia waya tu ila sio kwamba namchukia
 
Back
Top Bottom