Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Documentary iliyotolewa na FIFA inaonesha kwamba Pele mambo yote aliyofanya Ronaldo de Lima el Phenomenon kayafanya miaka 50 iliyopita, kweli inamaliza ubishi wote wa wanazi kina SHAFY DAUDA,

Mambo alifanya Lionel Messi uwanjani yamefanywa na Pele miaka ya zamani sana na mengine Messi hajayafanya

Mambo aliyofanya Zinedine Zidane Uwanjani yote wamecopy Kwa Pele ,

Mambo aliyofanya Cristiano Ronaldo yote kayafanya Pele miaka 50 iliyopita na mengine Ronaldo hajayafanya mpaka sasa,


FIFA wame apologize Kwa kuchelewa kurelease baadhi ya video pia na ubora wake haukuwa mzuri lakin wamefanya kuonesha kila anachofanya mchezaji wa sasa na waliopita wanalinganisha na matukio ya Pele uwanjani,

Video imeeleza kila kitu Kwa undani kabisa

Hapo utaona Luis figo, Ronaldo original, Roberto Carlos, Zidane, Fredrik Ljumberg , Messi n Ronaldinho matukio na mambo walofanya wanaonesha walipoyacopy Kwa pele,


Pitia video hii Kwa umakini,


Ukimaliza umpe salute Pele

Commentator mmoja toka Uingereza anasema

β€œHeavy boots, heavy football, shocking pitches, and players that actually tried to hurt you, not just tackle.
Those under 30 have no idea what it took to be a great. They just look at todays stars, playing touch football, and use the word 'great' or 'greatest' far too easy.”
Pele is Greatest


 
Ronaldinho mwingine hajawahi tokea duniani ... Kwa mpira wake umebakia kwa peke yake pele wala mchezaji mwingine yoyote duniani hajawahi fanya entertainment katika mpira kama minjino Gaucho
Ronaldinho ni mtu mwingine Yule ,
 
Mi nawasikiliza tu jinsi watu wanavyowafagilia kina Maradona
Alichoshindwa Pele ni kitu kimoja tu "KUTABIRI" jambo lolote
litakalotabiriwa na pele kwenye soka wewe liweke kinyume chake
Haha
 
Nadhan ubish umeisha.. pele ndo mchezaji bora wa muda wote duniani..so nafasi inayogombaniwa ni ya pili kushuka chini. Labda dunia ijayo huko

Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…