Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

Umegonga kichwa cha nyoka kabisaa
 
na ukongwe wake atasubiri sana kwa mijino gaucho
 
Ronaldinho mwingine hajawahi tokea duniani ... Kwa mpira wake umebakia kwa peke yake pele wala mchezaji mwingine yoyote duniani hajawahi fanya entertainment katika mpira kama minjino Gaucho
Uaimlinganishe Pele na vitu vya kijinga
 
Mpira uliisha kipindi cha Zidane tu,siku hizi mpira kwa ajiri ya kubet basi.
 

Vitu vingi sana, inshort havielezeki...ukitaka zaidi omba msaada google! Kwaheri!
 
Kwani vyenga navyo vina Offside?..Sio lazima uchangie,kaa kimya tu

Kuna mtu anaepiga chenga kama Messi na Diego??? Pele nimemfuatilia youtube yani hata nusu yake hajamfikia Diego,,ukija kwa Messi ndio kabisaa. Mwacheni mfalme wa watu.

"Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe" tunajionea kwa Mfalme Messi mnavyomchukia....mnamjadili sana lakini hamumpunguzii chochote bali mnamuongezea umaarufu.
 
Amna kitu hapo beki zenyewe mbona hazikabi zinaangalia tu

Hahahaaa umeona kamanda mabeki wenyewe wazee hata kukaba shida, angelikuwepo kipindi hichi wakina Ramos,Puyol,Marcelo,Otamendi,Pique,Mascherano,Umtiti,n.k kama angefurukuta. Lakini kwa Messi kishawavunja viuno hakubakiza mtu. Diego naye alikuwa balaa, kapitia wakati mgumu, alikuwa anachana mbuga sio mchezo.
 
Bruce Lee
Mohamed ali (the great )
Bob marley
Michael Jordan
Michael Jackson
Pele wa brazil
Hawa viumbe walifanya yao endeleeni tu kuwafananisha ila kwangu mimi walikuwa na vipaji na vipawa vya hali ya juu sana
Hao watu hata wangekuwepo enzi za Yesu ndo ingekuwa kampani yake kwakweli...
 

Mtaongea sana kiongozi.but ukweli ni kwamba messi ndiye baba yao asiyekuwa na mpinzani. Akifuatiwa na Diego armando Maradona.wengine wakachunge ng'ombe.....


  1. MESSI
  2. DIEGO
  3. PELE
  4. ALFREDO DE STEFANO
  5. PUSCAS
  6. CRUYFF
  7. CR7
  8. ZIDANE
  9. BECKANBEUER
  10. REQUELME
  11. DE LIMA
  12. BURRUCHAGA
  13. MARIO KEMPES
 
Mkuu black, huyu jamaa kakomenti tu baada ya kuangalia video bila kusoma shahidi zilizoletwa.

Kabisa kamanda wangu....alafu nimemtupia video za Diego acheki mambo alokuwa anayafanya.. naona kasepa kusikojulikana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama hiki ndio kigezo unachotumia basi pedro au cr7 ni wachezaji wazur sana (statistics)

Lakin unazungumzia influence na control ya gem by a single player...
Hapo ndio utakutana na wanao ujua mpira i mean messi ,maradona na pele.

Messi vision yake katika soka ni tofauti sana asee na niseme tu ngum kutokea mchezaji kama huyu.
 
We jamaa unachekesha sana aisee.Messi ana chenga gani labda ambayo utasema ni chenga ya kushangaa?.Yani kwa chenga hata Neymar anamshinda,Messi hana chenga za kumfikia hata Gucho/Zidane.Ndo useme atamfikia Pele.Acha unazi,Hebu nitajie chenga moja ya maana ambayo Messi alishapiga ikashangaza ulimwengu?
 
Vitu vingi sana, inshort havielezeki...ukitaka zaidi omba msaada google! Kwaheri!
Taja kama unafahamu ni wapi Messi amemziki hata Ronaldinho kiuchezaji?.Kinachowasumbua najua ni hayo ma tuzo ya FIFA,Hakuna kingine,Maruzo yeneyewe siku hizi yashaingiliwa na wafanya biashara.Kama 2010 Messi hakustahili kupata ile Tuzo lakini alipewa tu kisa kuna nguvu ya makampuni ya wadhamini kule FIFA.Hata Ronaldo CR kuna mwaka hakustahili pia,Ni sababu ya biashara tu.Nakuhakikshia kama kungekuwa na washindani kama miaka ya nyuma sidhani kama Messi angepata hata tuzo 3.Mimi nakuhakikishia Messi kwa skills hamfikii hata Ronaldinho nusu.Ni mguu wa kushoto tu unampa advantage katika kukabwa..Hadi sasa hivi hujanijibu swali langu,maana huna cha kusema.
 

Ndugu Chief haya haya kila day tunayarudia, ndiomaana sometimes huwa sijibu maswali mengine yasiyokuwa na kichwa wala miguu. nishakusoma kitambo unamchukia sana Messi...maana huwezi kumcompare na ki-Neimar and Gaucho,,, mkuu hata mtoto wa darasa la pili atakupuuza akiiona hii comment. Kwaheri!

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…