Mkuu wewe utakua huangalii mpira husubir kusikia messi kafunga leo, ama leo nae katupia. Kama wewe n mtazamaji wa mpira angalia mambo yafuatayo.
1.ball balance. Mchezaji anapokua na mpira ana ucontrol vp with respect na opponent . yaan anaemkaba.
2. Dribbling. Hapa tunaangalia vitu ving haswa .. Mfano running with the ball, turning with the ball, pamoja na body language baina ya mpira, mkabaji na mtu anaeomba apasiwe ule mpira. I mean kutengeneza nafasi nyepesi kwa mwenzako ili asihangaike anapo receive ule mpira.
3. Impossible passes , goal finishing, goal scoring and final passes. Hapa utakutana na takataka zote za kuitwa skilled player. Kwa mfano cr7 hapa n mzur kwenye point moja ya scoring bas.
Pele pia ni mzuri kwa point mbili tu yaani goal scoring na goal finishing.
Ukizijumlisha hizo sababu zote ndo unampata messi. Yaani huyu anafanya kila analotakiwa kuwa nalo mchezaji. Mfano kupiga impossible passed za magoal hata sehemu amaboyo hamtegemei mpira upite. Pia ni goal finisher mzuri sana. So to me no one like messi labda maradona kwa mbaali kabsa. Lakn pele ni kama cr7. Thankx