Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

Ndugu Chief haya haya kila day tunayarudia, ndiomaana sometimes huwa sijibu maswali mengine yasiyokuwa na kichwa wala miguu. nishakusoma kitambo unamchukia sana Messi...maana huwezi kumcompare na ki-Neimar and Gaucho,,, mkuu hata mtoto wa darasa la pili atakupuuza akiiona hii comment. Kwaheri!

  1. Messi
  2. Diego
  3. Pele
Nianacho compare hapa ni skills na siyo mafanikio,Elewa point yangu.Mimi siku zote nasema,kwa skills wachezaji wengi sana Messi hawafikii,Kinachowabeba wao na Ronaldo CR ni hayo ma tuzo ya FIFA yanayotolewa kibiashara,Ila kwa uchezaji Messi hamfikii hata Gaucho.Kwanza unanchekesha sana Eti kumuweka Messi No 1 ahead of Maradona.Kwa uwezo upi hasa Messi anamshinda Diego?.Nenda kule Argentina uwaulize kati ya hao wawili ni nani shujaa wa taifa utaona majibu yao.Hata hapo kinachokufanya umweke Messi no 1 ni hayo matuzo ya FIFA tu,Hakuna kingine,maana tunajua kiuchezaji hajamfikia hata Diego Maradona.BTW tuajua na wewe una chuki na wachezaji wa Brazil
 
Documentary inaitwaje? Inapatikana wapi?

Hii video ya YouTube ya dakika 6 ndo unaita documentary?
hahaaaa wajua nimekaa tu nawatizama Hawa majamaa wanavyo jibizana ujinga ..yaani wanatka kuufananisha mchezo wa mpira wazamani uliokuwa haujakamilika kisheria na technology na huu wa sasa ..kisha wanashngilia kabisa nakusema kuwa pele alikuwa bora ..aiseeeee halafu nao niwasomi my foot ...kweli bongo bahati mbaya...

halafu msiwe mnapnda kumnanisha messi na vitu vya kipuuzi ...
 
Hahahaa mkuu! Yani bora ningezaliwa ulaya aise au uarabuni.
 
Nianacho compare hapa ni skills na siyo mafanikio,Elewa point yangu.Mimi siku zote nasema,kwa skills wachezaji wengi sana Messi hawafikii,Kinachowabeba wao na Ronaldo CR ni hayo ma tuzo ya FIFA yanayotolewa kibiashara,Ila kwa uchezaji Messi hamfikii hata Gaucho.Kwanza unanchekesha sana Eti kumuweka Messi No 1 ahead of Maradona.Kwa uwezo upi hasa Messi anamshinda Diego?.Nenda kule Argentina uwaulize kati ya hao wawili ni nani shujaa wa taifa utaona majibu yao.Hata hapo kinachokufanya umweke Messi no 1 ni hayo matuzo ya FIFA tu,Hakuna kingine,maana tunajua kiuchezaji hajamfikia hata Diego Maradona.BTW tuajua na wewe una chuki na wachezaji wa Brazil

Hapo ni kila kitu + Skills. Messi na Diego hawana mpinzani.
 
Hawa watoto wa juzi. Wa Internet ndio wanasema sijui Maradona au Messi lakini kama unajua mpira hakuna kama Pele
 
Hakuna kama pele kivipi?? Ulimuona live? nimemfuatilia video zake yani hakufikia hata nusu ya Diego, achilia mbali master wao Messi. Huyu hazungumziwi maana hakuna wakufananae, hakuna cha Diego wala Pele wala Alfredo de stefano wala mijitu mijinga mijinga sijui akina de lima n.k
 
Pele ni mtu mwingine kabisaa, utakuwa tahira kuukataa ukweli huu,
 
Hakuna kama pele kivipi?? Ulimuona live? nimemfuatilia video zake yani hakufikia hata nusu ya Diego, achilia mbali master wao Messi. Huyu hazungumziwi maana hakuna wakufananae, hakuna cha Diego wala Pele wala Alfredo de stefano wala mijitu mijinga mijinga sijui akina de lima n.k
We Messi uliwahi kumuona live?
 
Jamaa kumbe alikua balaa,he was good enough! Respect to be the king of football
 
Akhsante sana,nshapanda bajaji yakuelekea ghetto mpenziii
 
Nianacho compare hapa ni skills na siyo mafanikio,Elewa point yangu.Mimi siku zote nasema,kwa skills wachezaji wengi sana Messi hawafikii,Kinachowabeba wao na Ronaldo CR ni hayo ma tuzo ya FIFA yanayotolewa kibiashara,Ila kwa uchezaji Messi hamfikii hata Gaucho.Kwanza unanchekesha sana Eti kumuweka Messi No 1 ahead of Maradona.Kwa uwezo upi hasa Messi anamshinda Diego?.Nenda kule Argentina uwaulize kati ya hao wawili ni nani shujaa wa taifa utaona majibu yao.Hata hapo kinachokufanya umweke Messi no 1 ni hayo matuzo ya FIFA tu,Hakuna kingine,maana tunajua kiuchezaji hajamfikia hata Diego Maradona.BTW tuajua na wewe una chuki na wachezaji wa Brazil
Mkuu wewe utakua huangalii mpira husubir kusikia messi kafunga leo, ama leo nae katupia. Kama wewe n mtazamaji wa mpira angalia mambo yafuatayo.

1.ball balance. Mchezaji anapokua na mpira ana ucontrol vp with respect na opponent . yaan anaemkaba.

2. Dribbling. Hapa tunaangalia vitu ving haswa .. Mfano running with the ball, turning with the ball, pamoja na body language baina ya mpira, mkabaji na mtu anaeomba apasiwe ule mpira. I mean kutengeneza nafasi nyepesi kwa mwenzako ili asihangaike anapo receive ule mpira.

3. Impossible passes , goal finishing, goal scoring and final passes. Hapa utakutana na takataka zote za kuitwa skilled player. Kwa mfano cr7 hapa n mzur kwenye point moja ya scoring bas.

Pele pia ni mzuri kwa point mbili tu yaani goal scoring na goal finishing.

Ukizijumlisha hizo sababu zote ndo unampata messi. Yaani huyu anafanya kila analotakiwa kuwa nalo mchezaji. Mfano kupiga impossible passed za magoal hata sehemu amaboyo hamtegemei mpira upite. Pia ni goal finisher mzuri sana. So to me no one like messi labda maradona kwa mbaali kabsa. Lakn pele ni kama cr7. Thankx
 
Hahahaha,Wewe ulimwona lini pele kwamba hana vitu vyote hivo vitatu?.Vitu vingine mnachambua kinazi tu.Yaani kumfananisha Pele na CR7 ni utoto uliotukuka.Hukuwa hi kumwona pele akicheza,Hata maradoma hujawahi kumwona akicheza.Sasa leo unawezaje kusema hana hivyo vitu vitatu?.Tafuta wazee wako wakuhadidhie Pele ni nani.
 
Mkuu nmetazama sana mambo ya Pele na gharincha kwa sababu kumtaja Pele bila kumtaja fund Wa wakat huo I mean gharincha unakosea kabisa.umaarufu Wa Pele ulikuja kwa sababu ya ufungaji Wa goal katka kombe la dunia 1958. Kumbuka kipind hicho kulikua na fund mumoja hatari sana pale brazil anaitwa DIDI. Huyu ndie aliechukua medal uchezaji bora wa fifa mwaka huo. Huku Pele akiwa amekua best player wa mwaka katka wachezaj wenye umri mdogo. Alikua na 17yrs na haya ndio yalikua mafanikio makubwa kwa Pele. Naweza kusema umri ulimbeba maana alikua ni mdogo lakini kulikua na shughul ya winga maridadi aka gharincha alikua fundi haswaa ila hakumfikia didi. Huo ndo ulikua ubingwa Wa kwanza Brazil.

Tukaja mwaka 1962 . kukawa na fund mwingine zaid kuliko pele anaitwa gharincha. Hii winga ilikua hatar. Huyu jamaa ndie alipewa uchezaji bora wa fifa .kumbuka pele hapa world cup alikua ameshakomaa kiuchezaji lakini hakufua dafu kwa gharincha. Na brazil walibeba ubingwa kwa mara ya pili mufululizo je fifa hawakuona kama ni best player kipindi hicho wakati timu yake imebeba ubingwa.?

Baada ya hapo..tukaja mwaka 1966. Hii ndo world cup iliyochukuliwa na waingereza na Bob chalton akiwa best player wa FIFA. Sawa hatuwezi sema sana juu ya Pele kwa sababu aliumia. Ila alie ibeba Brazil ni yule yule mwenye brazil yake kipind hicho.winga machachari kabsa gharincha. Ni kimvuli kile kile cha mwaka 1962. Brazil walitolewa na ujerumani. So bado hatuwezi sema Pele. Ndie alikua tegemeo maana mchezaji bora Wa wabrazil kipindi hicho alikua gharincha. World cup zote tatu Pele alikua ni streaker.

Mwisho kabsa wa Pele katika world cup ni 1970. Huu mwaka Brazil walichukua pia.hapa ndo Pele alipoibeba Brazil. Ni mwaka ambayo Pele keshakua kwenye soka mda mrefu zaid nafkr hapa alikua na miaka 29 . mkomavu haswaa. Na hapa alicheza kama attacking mild field Wa uongo kama anavyofanya messi. Yaan ni forward lakn antokea mbal na mpira. Ndo mwaka pekee alioonesha kiwango kikubwa I mean matuality ..baada ya world cup akapotea mazima. Sasa tuje kwa wadau Wa kumfanya Pele awe zaid kwa labda kombe la dunia lakn sio mpira .

So ukiangalia takwim zake utagundua kuwa messi n zaid yake..
 
Back
Top Bottom