Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Post yangu imekuudhi nini?Kwani vyenga navyo vina Offside?..Sio lazima uchangie,kaa kimya tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post yangu imekuudhi nini?Kwani vyenga navyo vina Offside?..Sio lazima uchangie,kaa kimya tu
Umegonga kichwa cha nyoka kabisaaHebu tuambie Messi amemzidi pele kiuchezaji kwenye nyanja ipi labda?..Achana na hayo matuzo sijui ya FIFA,kipindi cha kina Pele kuna uwezekano pia hayakuwepo.Pia siku hizi yameshaingiliwa na wafanyabiashara...Tuambie kiuchezaji Messi amemzidi hata Ronaldinho wapi?
Uaimlinganishe Pele na vitu vya kijingaRonaldinho mwingine hajawahi tokea duniani ... Kwa mpira wake umebakia kwa peke yake pele wala mchezaji mwingine yoyote duniani hajawahi fanya entertainment katika mpira kama minjino Gaucho
Hebu tuambie Messi amemzidi pele kiuchezaji kwenye nyanja ipi labda?..Achana na hayo matuzo sijui ya FIFA,kipindi cha kina Pele kuna uwezekano pia hayakuwepo.Pia siku hizi yameshaingiliwa na wafanyabiashara...Tuambie kiuchezaji Messi amemzidi hata Ronaldinho wapi?
Umegonga kichwa cha nyoka kabisaa
Kwani vyenga navyo vina Offside?..Sio lazima uchangie,kaa kimya tu
Kwani vyenga navyo vina Offside?..Sio lazima uchangie,kaa kimya tu
Amna kitu hapo beki zenyewe mbona hazikabi zinaangalia tu
Post yangu imekuudhi nini?
Hao watu hata wangekuwepo enzi za Yesu ndo ingekuwa kampani yake kwakweli...Bruce Lee
Mohamed ali (the great )
Bob marley
Michael Jordan
Michael Jackson
Pele wa brazil
Hawa viumbe walifanya yao endeleeni tu kuwafananisha ila kwangu mimi walikuwa na vipaji na vipawa vya hali ya juu sana
Mwana utakuwa umezaliwa juzi kwa sisi tuliouona mpira wa kweli Sasa hivi hakuna kitu hata kimoja kinavutia au ushindani kwenye soka... Mpira umekuwa mchezo rahisi ambao hauna mabeki wakatili, hauna viungo wakabaji wakatili, washambuliaji wenye uchu, na mawinga machachari.... Kizazi cha watu hao kilimalizikia1975, kikaja Kizazi cha pili 1975, mpaka 1990 na kikaanza Kizazi cha Tatu kilichoishia 2006.... Vizazi hivi vitatu asikuambie mtu ndio maana ilikuwa ni vigumu kumuongelea mtu mmoja Leo hii tunamuongelea Ronaldo na Messi sababu wengine hawapo lakini kipindi hicho wakina Messi na Ronaldo walikuwa wengi......... Angalia hata hapa Tanzania mpira walioucheza kina kibadeni, manara, mogela, mkwasa, lunyamila, chama na Akina Peter tino, haupo Tena.....mpira wenye mabeki wakatili kama kina frank Kassanga, fikiri magoso, bakari tall, George Masatu, Salum kabunda, leodgar Tenga...... Kijana temea mate Pembeni mungu anakuona..... Sasa hivi kuna hela mpira hakuna
Mkuu black, huyu jamaa kakomenti tu baada ya kuangalia video bila kusoma shahidi zilizoletwa.
Kama hiki ndio kigezo unachotumia basi pedro au cr7 ni wachezaji wazur sana (statistics)Hahahahaa tukiwa wakweli messi na maradona ukiwapambanisha na pele garrincha na zico hawawakuti
Argentina haiiwezi brazil kimpira hta ukiweka kikosi bora cha argentina cha kina redondo , mario kempes, ortega, maradona etc hawaiwezi brazil ya kina tostao, pele garrincha, didi, carlos alberto, zico, socrates, jairzinho, Aldair dah and the list goes on hapo hakuna wa kukifunga hicho kikosi ila hao argentina wana majina tu ya misimu ila kma vipaji brazil ndio kila kitu
Ni hivi.....pele hana mpinzani niwekee world cup 3 mezani na moja alikosa baada ya kuvunjwa mguu ndio wakatolewa na portugal bila hivyo angekuwa amechukua world cup zote alizoshiriki je nani sahivi anaweza
We jamaa unachekesha sana aisee.Messi ana chenga gani labda ambayo utasema ni chenga ya kushangaa?.Yani kwa chenga hata Neymar anamshinda,Messi hana chenga za kumfikia hata Gucho/Zidane.Ndo useme atamfikia Pele.Acha unazi,Hebu nitajie chenga moja ya maana ambayo Messi alishapiga ikashangaza ulimwengu?Kuna mtu anaepiga chenga kama Messi na Diego??? Pele nimemfuatilia youtube yani hata nusu yake hajamfikia Diego,,ukija kwa Messi ndio kabisaa. Mwacheni mfalme wa watu.
"Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe" tunajionea kwa Mfalme Messi mnavyomchukia....mnamjadili sana lakini hamumpunguzii chochote bali mnamuongezea umaarufu.
Taja kama unafahamu ni wapi Messi amemziki hata Ronaldinho kiuchezaji?.Kinachowasumbua najua ni hayo ma tuzo ya FIFA,Hakuna kingine,Maruzo yeneyewe siku hizi yashaingiliwa na wafanya biashara.Kama 2010 Messi hakustahili kupata ile Tuzo lakini alipewa tu kisa kuna nguvu ya makampuni ya wadhamini kule FIFA.Hata Ronaldo CR kuna mwaka hakustahili pia,Ni sababu ya biashara tu.Nakuhakikshia kama kungekuwa na washindani kama miaka ya nyuma sidhani kama Messi angepata hata tuzo 3.Mimi nakuhakikishia Messi kwa skills hamfikii hata Ronaldinho nusu.Ni mguu wa kushoto tu unampa advantage katika kukabwa..Hadi sasa hivi hujanijibu swali langu,maana huna cha kusema.Vitu vingi sana, inshort havielezeki...ukitaka zaidi omba msaada google! Kwaheri!
We jamaa unachekesha sana aisee.Messi ana chenga gani labda ambayo utasema ni chenga ya kushangaa?.Yani kwa chenga hata Neymar anamshinda,Messi hana chenga za kumfikia hata Gucho/Zidane.Ndo useme atamfikia Pele.Acha unazi,Hebu nitajie chenga moja ya maana ambayo Messi alishapiga ikashangaza ulimwengu?