Hii inazirihisha kuwa mwalimu w mpira ni mmoja.
Mkuu wewe utakua huangalii mpira husubir kusikia messi kafunga leo, ama leo nae katupia. Kama wewe n mtazamaji wa mpira angalia mambo yafuatayo.
1.ball balance. Mchezaji anapokua na mpira ana ucontrol vp with respect na opponent . yaan anaemkaba.
2. Dribbling. Hapa tunaangalia vitu ving haswa .. Mfano running with the ball, turning with the ball, pamoja na body language baina ya mpira, mkabaji na mtu anaeomba apasiwe ule mpira. I mean kutengeneza nafasi nyepesi kwa mwenzako ili asihangaike anapo receive ule mpira.
3. Impossible passes , goal finishing, goal scoring and final passes. Hapa utakutana na takataka zote za kuitwa skilled player. Kwa mfano cr7 hapa n mzur kwenye point moja ya scoring bas.
Pele pia ni mzuri kwa point mbili tu yaani goal scoring na goal finishing.
Ukizijumlisha hizo sababu zote ndo unampata messi. Yaani huyu anafanya kila analotakiwa kuwa nalo mchezaji. Mfano kupiga impossible passed za magoal hata sehemu amaboyo hamtegemei mpira upite. Pia ni goal finisher mzuri sana. So to me no one like messi labda maradona kwa mbaali kabsa. Lakn pele ni kama cr7. Thankx
Mkuu nmetazama sana mambo ya Pele na gharincha kwa sababu kumtaja Pele bila kumtaja fund Wa wakat huo I mean gharincha unakosea kabisa.umaarufu Wa Pele ulikuja kwa sababu ya ufungaji Wa goal katka kombe la dunia 1958. Kumbuka kipind hicho kulikua na fund mumoja hatari sana pale brazil anaitwa DIDI. Huyu ndie aliechukua medal uchezaji bora wa fifa mwaka huo. Huku Pele akiwa amekua best player wa mwaka katka wachezaj wenye umri mdogo. Alikua na 17yrs na haya ndio yalikua mafanikio makubwa kwa Pele. Naweza kusema umri ulimbeba maana alikua ni mdogo lakini kulikua na shughul ya winga maridadi aka gharincha alikua fundi haswaa ila hakumfikia didi. Huo ndo ulikua ubingwa Wa kwanza Brazil.
Tukaja mwaka 1962 . kukawa na fund mwingine zaid kuliko pele anaitwa gharincha. Hii winga ilikua hatar. Huyu jamaa ndie alipewa uchezaji bora wa fifa .kumbuka pele hapa world cup alikua ameshakomaa kiuchezaji lakini hakufua dafu kwa gharincha. Na brazil walibeba ubingwa kwa mara ya pili mufululizo je fifa hawakuona kama ni best player kipindi hicho wakati timu yake imebeba ubingwa.?
Baada ya hapo..tukaja mwaka 1966. Hii ndo world cup iliyochukuliwa na waingereza na Bob chalton akiwa best player wa FIFA. Sawa hatuwezi sema sana juu ya Pele kwa sababu aliumia. Ila alie ibeba Brazil ni yule yule mwenye brazil yake kipind hicho.winga machachari kabsa gharincha. Ni kimvuli kile kile cha mwaka 1962. Brazil walitolewa na ujerumani. So bado hatuwezi sema Pele. Ndie alikua tegemeo maana mchezaji bora Wa wabrazil kipindi hicho alikua gharincha. World cup zote tatu Pele alikua ni streaker.
Mwisho kabsa wa Pele katika world cup ni 1970. Huu mwaka Brazil walichukua pia.hapa ndo Pele alipoibeba Brazil. Ni mwaka ambayo Pele keshakua kwenye soka mda mrefu zaid nafkr hapa alikua na miaka 29 . mkomavu haswaa. Na hapa alicheza kama attacking mild field Wa uongo kama anavyofanya messi. Yaan ni forward lakn antokea mbal na mpira. Ndo mwaka pekee alioonesha kiwango kikubwa I mean matuality ..baada ya world cup akapotea mazima. Sasa tuje kwa wadau Wa kumfanya Pele awe zaid kwa labda kombe la dunia lakn sio mpira .
So ukiangalia takwim zake utagundua kuwa messi n zaid yake..
Kwa hiyo Messi kamfundisha Pele wa Brazil mpira.Messi tu
Kwa hiyo Messi kamfundisha Pele wa Brazil mpira.
Mpira wa sasa ukiguswa tu filimbi..enzi za akina Pele ilikuwa shughuli kwelikweli..sio sasa.
Angalia ducomentary uone kama amefunga kwa offside...Pele anajua..sio hawa nyoronyoro wakiguswa tu wamekula vumbiNdio maana akafikisha magoli 1000 ingawa mengi yametokana na offside na magoli mengine ya vichochoroni.
Angalia ducomentary uone kama amefunga kwa offside...Pele anajua..sio hawa nyoronyoro wakiguswa tu wamekula vumbiNdio maana akafikisha magoli 1000 ingawa mengi yametokana na offside na magoli mengine ya vichochoroni.
Sasa ndio nimegundua kuwa ww mkuu pele humjui, wala hujapata kumfatilia.. Kwanza nianze kusema, pele hakuwa mmaliziaji, tengua kauli, unavyomuona messi basi na pele ni hivyo hivyo ila messi kazidiwa baadhi ya mambo tuuKwahiyo unataka kutuambia Pele kamfundisha Messi mpira, kwa sababu ya umri sio??? Kwanza kabisa Messi na pele wapi na wapi??? Pele hana hadhi mbele ya mchawi mweupe wewe. Pele kinachombeba ni kikombe cha dunia, na isitoshe position alokuwa anacheza Pele na anayocheza Messi ni different kabisa mzee. Pele ni foward/mmaliziaji,, kama cr7 tunavyomuona, ingawa Cr7 yupo juu zaidi kimafanikio. Narudia MESSI msimfananishe na vitu vya kipumbavu mkuu! Mnamkosea heshima kiumbe huyu.
Km ntakuonesha video za pele hakuna goli anafunga yuko offside alikuwa anatembea na kijiji ndio anaweka mali nyavuniNdio maana akafikisha magoli 1000 ingawa mengi yametokana na offside na magoli mengine ya vichochoroni.
Umeona herSasa ndio nimegundua kuwa ww mkuu pele humjui, wala hujapata kumfatilia.. Kwanza nianze kusema, pele hakuwa mmaliziaji, tengua kauli, unavyomuona messi basi na pele ni hivyo hivyo ila messi kazidiwa baadhi ya mambo tuu
Ronaldinho mwingine hajawahi tokea duniani ... Kwa mpira wake umebakia kwa peke yake pele wala mchezaji mwingine yoyote duniani hajawahi fanya entertainment katika mpira kama minjino Gaucho
Hivi inajua sharia ya offside imeanza mwaka gani?Post yangu imekuudhi nini?