Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Unajua nini boss....watu wengi hawana uwezo wa kupata taarifa sahihi kama ulivyoweza wewe...ndiyo sababu huwa wanadanganyika na stori za vipindi vya michezo vya bongo vinavyoendeshwa na wajanja wa mjini akina Dauda....Pele apewe heshima yake asee
Honestly.....huwa sisikilizi international sports and analysis from hawa makanjanja wetu kwa sababu kubwa moja tu....They have never been there, hawana moral authority kuchambua mpira wa wazungu....akiongea Sami Kuffour ntamsikiliza kwa makini, Beni Mccarthy.....akiongea Ali Mayai, Golden boy Zamoyoni Mogela ntasikiliza....
Sasa....Pele alikuwa voted na world coaches kuwa mchezaji bora kabisa wa 20th century....halafu mtu aliyeishia kucheza ndondo just like myself anasema eti huyo kapitwa na Messi....seriously...?
Hawa makanjanja wachambue ndondo maana ndiyo level yao...