GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Paka Saba ( 7 ) Wamekufa kwa Kitabu tu halafu kuna mahala nimeona Refa wa Mchezo nae kashika Filimbi na anaipa Dole la Furaha na Kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde.
Jamaa muongo sana wewe.Paka Saba ( 7 ) Wamekufa kwa Kitabu tu halafu kuna mahala nimeona Refa wa Mchezo nae kashika Filimbi na anaipa Dole la Furaha na Kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde.
Genta popoma mwenye degeree ya mchongoPaka Saba ( 7 ) Wamekufa kwa Kitabu tu halafu kuna mahala nimeona Refa wa Mchezo nae kashika Filimbi na anaipa Dole la Furaha na Kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde.
Ni moja ya Character ya Mtu very Intelligent au hujui?Jamaa muongo sana wewe.
Kama nawe ulivyo na Mbunye yako ya / Nyabe lako la Mchongo.Genta popoma mwenye degeree ya mchongo
Walianza na Sisi sasa tunamalizia hivyo wawe Wavumilivu tu Sindano iwaingie vizuri.Mnaiombea timu ya nje ishinde mbona hamna uzalendo jamani?
Anza Kwanza kumtoa Kafara hiyo Mkeo.Ungejitoa kafara wewe labda itawasaidia kupunguza magoli
We Nani kakudanganya Wale n waarabu.?[emoji16]..ulikimbia somo la geography nn ...hao wasudan sehemu wanayotoka ndo kuna joto Sana afrika hii kwa maan hyo Hilo Jua lako la DSM hamna kitu kwaoWaarabu na Game za saa kumi ni kama kumsukuma mlevi tu. Yanga leo anashinda kiwepesi tu.
Kwa taarifa yenu nimeoteshwa mwaka huu Yanga na Simba zote zitatinga Groups stage na zitapangwa kundi moja makundi
.Kama nawe ulivyo na Mbunye yako ya / Nyabe lako la Mchongo.