Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Ni ukweli usiosemwa!
Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia.
Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache labda dini…. mara nyingine ni vitisho na kupinga watoto kujaribu vitu vipya. Kwa hofu kuwa hawajui matokeo yake, au sababu ya kile wanachoita ‘kinyume' na mila zetu.
Hii imekuwa moja ya sababu maisha yetu kubakia kuwa ya kijima.
Fikiria unapiga stori na wazee, watakupa mchongo gani? Wengi hawana wanalojua, utaambulia porojo tu na majigambo ya 'enzi zetu' blah blah!!
Tuwaheshimu wazee, ila tusiwategemee kwenye kuiendea kesho yetu.
Ni hayo tu.
Ncha Kali ……✍🏾✍🏾✍🏾