ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Popote hayupo mkuu Dunia imekuwa kijiji kama uamini fanya majaribio kwa kuchukua tu binti wa kijijini kakae nae mjini miezi 3 kisha chukua wa mjini kaa nae pia miezi 3 wote hawatakufaaEti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.