Kwa dunia ya sasa mke wa kweli yupo kijijini au mjini ?

Kwa dunia ya sasa mke wa kweli yupo kijijini au mjini ?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.
 
Uliyetangaza umemwoa kipindi fulani huyohuyo ndiyo the best mkuu…kote majanga tu
 
. Kwa dunia ya leo mke huwezi Pata , labda wanawake utapata wengi tu...

. Huko kijijini wanawake wako speed ya 6G
 
Ila wa mjini wana expection fulani ya maisha classic na ni uongo upate mtu akupende na akunulie nguo akusuke
 
Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.
Popote hayupo mkuu Dunia imekuwa kijiji kama uamini fanya majaribio kwa kuchukua tu binti wa kijijini kakae nae mjini miezi 3 kisha chukua wa mjini kaa nae pia miezi 3 wote hawatakufaa
Siku hizi hata wale wazee wa vijiji waliokuwa wanawatafutia watoto wao ukoo wa kuoa wamekwama
 
Sidhani kama kuna utofauti kati ya wanawake wa mjini na wa vijijini

Wanaishi kuendana na mazingira tu

Sasa we wa mjini ukipata wa kijijini ukamleta huko mjini atabadilika tu mdogomdogo
 
Mke yupo moyoni mwako, kama utaamua kumpenda na madhaifu yake ni moyo wako, na si vinginevyo... Ukiamua kumkosoa na kumuacha pia ni moyo wako...

So mke yupo moyoni mwako
 
Bora wa mjini hana cha kudanganywa nacho tena. Akikukubali amekukubari maana wenye magari na maghorofa anakuwa anawaona. Sasa wakijijini si utawafugia walaji tu
 
Back
Top Bottom