Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Uliwezaje kujiunga jf we mbwiga?Kitungu sawaumu,kitunguu Maji,tangawiz,mdalasini,chumvi,nyanya,pilipili hoho,erick,pilpil mtama.....Hii ndo team pilau yenye viungo wengi kuuzid UTO..........
Mbwiga wew unayemfananisha the Magic triple C hizo bamia zako hapo juuUliwezaje kujiunga jf we mbwiga?
Acha umbwigaMbwiga wew unayemfananisha the Magic triple C hizo bamia zako hapo juu
Ndio hivyo!Kubabeki.
Matola alikuwa anacheza dimba la chini.Mimi ni Simba lakini yanga Imekamilika mno.
Simba haijawa na No 8 nazani Tangu kuondoka kwa MATOLA.
Viungo Wote wamekuwa ni WA kusua sua kabisa.
List ni ndefu sana Kuna Morisson, Bigirimana, Farid, Feisal, Nkane, Ambundo, wote viungo!Mudathir Yahya
Bangala
Aucho
Sureboy
Aziz key
Zawadi Mauya
Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
Afu eti na huyo jamaa yupo kwenye idadi ya sensaUliwezaje kujiunga jf we mbwiga?