kwa East africa Hakuna timu yenye viungo bora kuizidi Yanga.

kwa East africa Hakuna timu yenye viungo bora kuizidi Yanga.

Kitungu sawaumu,kitunguu Maji,tangawiz,mdalasini,chumvi,nyanya,pilipili hoho,erick,pilpil mtama.....Hii ndo team pilau yenye viungo wengi kuuzid UTO..........
 
Christian Atsu amepatikana akiwa hai.
Tuendelee kuiombea Turkey katika kipindi hichi kigumu.
 
Mimi ni Simba lakini yanga Imekamilika mno.

Simba haijawa na No 8 nazani Tangu kuondoka kwa MATOLA.

Viungo Wote wamekuwa ni WA kusua sua kabisa.
 
Mudathir Yahya
Bangala
Aucho
Sureboy
Aziz key
Zawadi Mauya
Nitajieni timu yenye viungo wakali kuizidi yanga nipo hapa nawasubiri..!
List ni ndefu sana Kuna Morisson, Bigirimana, Farid, Feisal, Nkane, Ambundo, wote viungo!

Hata Diarra jinsi anapatia kugawa mipira nae tumuweke kwenye list!!

Hii Yanga ya Prof Nabi ni timu ya viungo ndo maana uwezo wa kumiliki mpira umepaa juu sana Simba wako Huku chini Yanga inayokaa mtaa wa Twiga nayo tayari ni Twiga tuko kulee juuu!!Simba Hawatuoni!!
 
Back
Top Bottom