Kwa Exposure yangu kidogo,Elimu yangu kidogo na Uzoefu wangu kidogo, nathubutu kusema Uchumi wa Tanzania upo kwenye mgogoro.

Kwa Exposure yangu kidogo,Elimu yangu kidogo na Uzoefu wangu kidogo, nathubutu kusema Uchumi wa Tanzania upo kwenye mgogoro.

fitonenendefu

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2022
Posts
428
Reaction score
881
Habarini Wana jf.
Kama hapo juu nilivyoanza kueleza nathubutu kusema Uchumi wa Tanzania uko mashakani sana zaidi ya watu wengi wanavyoona na kudhania.
Hali ni tete na mbaya sana,watu wameweka pending mambo mengi sana hayaendi kwenye mzunguko kama itakiwavyo.

Nimemaliza.
Uzi tayari.

Povu ruksa.
 
Don't speak about others
Semea nafsi yako.
Despite of a very difficult conditions kuna watu wanajenga nyumba nzuri.. wanafanya vacations

Tuziid kupambana tuwe wabunifu pia
 
Habarini Wana jf.
Kama hapo juu nilivyoanza kueleza nathubutu kusema Uchumi wa Tanzania uko mashakani sana zaidi ya watu wengi wanavyoona na kudhania.
Hali ni tete na mbaya sana,watu wameweka pending mambo mengi sana hayaendi kwenye mzunguko kama itakiwavyo.

Nimemaliza.
Uzi tayari.

Povu ruksa.
Mkuu leta facts uchumi ni science sio uchawi au lamuli...... kwa general information uchumi wote African uko migogoloni, tupo tupo tu
 
Aya kakojoe ukalale,mikeka ikichanika akipi zenu zinahamiaga mata*oni eeee
 
Back
Top Bottom