fitonenendefu
JF-Expert Member
- Jul 27, 2022
- 428
- 881
Habarini Wana jf.
Kama hapo juu nilivyoanza kueleza nathubutu kusema Uchumi wa Tanzania uko mashakani sana zaidi ya watu wengi wanavyoona na kudhania.
Hali ni tete na mbaya sana,watu wameweka pending mambo mengi sana hayaendi kwenye mzunguko kama itakiwavyo.
Nimemaliza.
Uzi tayari.
Povu ruksa.