Kwa faulo hii, Messi alipaswa apewe kadi nyekundu

Kwa faulo hii, Messi alipaswa apewe kadi nyekundu

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
19,380
Reaction score
68,484
Messi alimkanyaga mchezaji wa Algeria kutokea nyuma.

Wachambuzi wengi wa soka wanadai Messi alitakiwa apewe kadi nyekundu kwa tukio hilo.

Chakushangaza hata kadi ya njano haikuwepo.

Weka maoni yako…
IMG_0620.jpeg
 
Team CR7 acheni us-nitch,game si imeisha jana hayo mambo ya card yanatoka tena wapi?
 
Messi hata akicheza faulo ni burudani na ni furaha hata team mpinzani hawapo tayari kuona anapewa hata yellow card... Red card kawape watoto wanao force mpira akina ronaldo na mbape
 
Back
Top Bottom