Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 May 26, 2024 #1 Kwa mfano tuna mpango wa kujenga vijiji au miji ya kisiasa kwa mwaka. Kwa fedha hii Tshs billion 500 au Trillion 1 tunaweza jenga flat ngapi ? Au nyumba ndogo ngapi? Na ipi ni nafuu na kisasa zaidi Flat au hizo nyumba ndogo mfano wa picha hapo juu? Zingatia hizi zitakuwa nyumba za bei nafuu sana tena sana au free houses ambazo zitakuwa provided na Government kwa watu wasio na makazi bora. Hii fedha itapatikana kama budget kwa kila mwaka na pesa zitakazo kuwa zinaokolewa kwenye ufisadi. Hili nafikiri laweza kuwa wazo zuri wewe je, waonaje na maoni yako ni yapi?
Kwa mfano tuna mpango wa kujenga vijiji au miji ya kisiasa kwa mwaka. Kwa fedha hii Tshs billion 500 au Trillion 1 tunaweza jenga flat ngapi ? Au nyumba ndogo ngapi? Na ipi ni nafuu na kisasa zaidi Flat au hizo nyumba ndogo mfano wa picha hapo juu? Zingatia hizi zitakuwa nyumba za bei nafuu sana tena sana au free houses ambazo zitakuwa provided na Government kwa watu wasio na makazi bora. Hii fedha itapatikana kama budget kwa kila mwaka na pesa zitakazo kuwa zinaokolewa kwenye ufisadi. Hili nafikiri laweza kuwa wazo zuri wewe je, waonaje na maoni yako ni yapi?
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 May 26, 2024 Thread starter #2 Hili jukwaa halina wadau na wataalam ? Labda jukwaa la siasa yanaweza patikana maoni. Maudhui ya uzi pia yanaendana na jukwaa hilo. Moderators mnaweza kufanya kitu hapa.
Hili jukwaa halina wadau na wataalam ? Labda jukwaa la siasa yanaweza patikana maoni. Maudhui ya uzi pia yanaendana na jukwaa hilo. Moderators mnaweza kufanya kitu hapa.