jem_the_great
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 289
- 158
Kwel kujadil kip chuo bora saa nyngne haina maana,cha muhmu penda chuo ulichochaguliwa,na xoma kwa bidii...from udsm aka mliman compus aka mwl.nyerere cmps
ukwel utabak pale pale japo mm sio membar wa UDSM ila ukwel n kwamba wataendelea kuwa juu
Ardhi University wanatafutwa?
Kuna shahada kama BE, CM, LMV, ARCHTECTURE, INTERIOR DESIGN, REFI, EE, GM, ISM, BAF just to mention few. Hawa wote wapo mitaani na tulikuwa pamoja katika kudharau watu waliosoma IFM, CBE na IAA...
Sikiliza kijana, wewe bado upo chuo, nenda kaulize hao wanafunzi wa Ardhi wanasemaje kuhusu field tu. Kama field tu inawapa shida, hiyo ajira unaisemaje?
Sasa wewe unataka kupotosha watu kuwa waajiri wanawatafuta wanafunzi kutoka Ardhi ili iweje?, Ardhi sio isolated island kijana, tuna wadogo zetu tunasomesha hapo, hata huyo Idrisa Mshoro anajua vizuri hali ya ajira, halafu wewe unataka kujidanganya kuwa hali ni nzuri eti kisa taaluma za hapo ni za kipekee!
nimegundua wanaosoma chuo bora UDSM,muhimbili na ardhi ni wachache ndio maana wanapingwa sana kama viongozi wasiasa! Endeleeni kujifariji kwamba vyuo vyote ni sawa! Kuna watu wanalia hawajawai kumwona proffessor, cozi tofauti lakini content zote zinafanana, japokuwa ada ni mara tatu ya ile ya udsm, library zakubabaisha , shida tupu yani mi naona ujipange tena alafu ndo uje kwa dunia ya sasa kila kitu ni ushindani kuna namba moja na namba ya mwisho! Roger that....
hahahaaaahhh....!!! kitu gani cha kipekee ambacho ARDHI kipo na vyuo vingine hawana.I think its about time now you start thinking outside the box the institution you went to doesn"t matter what matters is your COMPITENCE in your field:flame:😡

Jamaa boya wewe field ardhi hakuna ubabaishaji usiwatishe madogo field unaandk tu mkoa unaotaka chwaaaaaa unapngiwa fasta nenda pale watafute maQS na maarchitect kama field ni shidaMwambie uyo bro...
Huyu jamaa flyn rider chuo cha Ardhi anakionaga kama Harvard vile me mwenyewe nasoma hapohapo ila nauelewa mchezo ulivyo mtaani
hahahaaaahhh....!!! kitu gani cha kipekee ambacho ARDHI kipo na vyuo vingine hawana.I think its about time now you start thinking outside the box the institution you went to doesn"t matter what matters is your COMPITENCE in your field:flame:😡
Jamaa boya wewe field ardhi hakuna ubabaishaji usiwatishe madogo field unaandk tu mkoa unaotaka chwaaaaaa unapngiwa fasta nenda pale watafute maQS na maarchitect kama field ni shida