Kwa first year na wanachuo wote

Kwa first year na wanachuo wote

au utaniambia course kama geology engineering,petroleum geology,au actuarial science utazipata wap tofaut na udsm,then wasote kutafuta kazi kama IT wa IFM?

UMEISAHAU UDOM mjomba nazo utazipata pale
 
au utaniambia course kama geology engineering,petroleum geology,au actuarial science utazipata wap tofaut na udsm,then wasote kutafuta kazi kama IT wa IFM?

mbona hizo zote hata udom zipo na me nachukua mojawapo kati ya hizo
 
mbona hizo zote hata udom zipo na me nachukua mojawapo kati ya hizo

Waambie!... wasifikiri hivyo vyuo wanavyosoma ndio issue kumbe issue ni mtu mwenyewe kwani ukisupp ud,mzumbe, au ardhi, unafikiri ungekuwa unasoma udom ungetoboa acheni hizo brah!,kama vp vyuo vingine vipewe majina ardhi,udsm... kama matawi...ila mlivyo na gere mtaanza aa aa ee ii oo meini kampasi na kiingereza cha uno dhati ni pazuri achana na matawi.. heehee elimu sio jina la chuo bali umepata nini kichwani,kwanza tunalipia,kama huko ni bure poa potezeeni.
 
unazungumzia field....
Watu wanazungumzia ajira kijana

kwani hivyo vyuo ndo vinatoa ajira au ajira unaitafuta mwenyewe ukimaliza, labda ungeniambia wanafundisha mbinu za kupata ajira ntakuelewa kidogo
 
Nimesota sana na msuli yatima af ndo unambie kuna vyuo mnakata miez bila kumwona prof duuuuh ni shidah

mbona sekondary ilikuwa ikipita wiki mbili bila ticha kuingia darasani ilikuwa kitu cha kawaida, so sishangai kusikia hivo ndo maana kuna asistance lectures....... So so so.. Etc
 
mbona sekondary ilikuwa ikipita wiki mbili bila ticha kuingia darasani ilikuwa kitu cha kawaida, so sishangai kusikia hivo ndo maana kuna asistance lectures....... So so so.. Etc

LECTURER ndio mungu wako uwapo chuoni hautegemei baraza kule wakutungie pepa
 
Mweny akil na anayejijua yeye msomi hawez kuongelea chuo kipi bora na kipi si bora.Ndio maana watanzania hatuendelei soma uje ujiajiri sio uajiriwe.Tena soma koz ambay unajua hata kama nisipo ajiriwa nitajiajir mwenyew.Enzi hizo nilishawah kufny interview na jamaa kutoka ud nk lkn nilichukuliwa mm ambay nimesoma chuo ambacho watu wanaviona hawafai.Nimefnya field TANAPA wanafnz wng wanaojidai kusoma vyuo flan walikua hawana jipya. SOMA KOKOTE KUWA SMART KWA KITU ULICHOKISOME. Utafanikiwa mengn bwembe tu.
 
Xaxa mtu anasoma law udsm naye anaongea wakati udsm wote tunajua makampuni ya oil na gasi ndo yanakujaga kuajiri watu lakini mahakama hazijawahi kuja ,
 
Dah Ajira Ajira Ajira C Mchezo Bwana Yan Kupata Kaz Now A Days Imekuwa Kazi Sana Hasa Kama Cc Ambao Babu Zetu Walikimbia Umande Tunashda Sana Kwani Ivi Sasa Haijarishi Nini Unajua But Nani Unamfahamu?
 
mkuu hivi na kujiajiri inahitaji nani unamfaham au anaekujua
 
Ni ushamba na ulimbukeni kukumbatia chuo unachosoma na kudharau vyuo wanavyosoma wengine.Tena wengine wanakwenda mbali na kuviita vyuo mbuzi,hivi ni kweli mwanafunzi wa elimu ya juu unasema wenzako wanasoma vyuo mbuzi.Shame on you.
Asante mtoa mada kwa kuwa umetoa somo zuri.
 
Umetisha kaka,mwenyw sipendi sana haya mabishano na dharau juu ya vyuo vyetu vya akina baba kabwela,lakini pia ajira kwetu wengi huzipata kirahisi na huwa hatunaga masifa ya ajabu ajabu!
 
Kwel ndg cc tunatakiwa tuwe waelewa kuliko kuzungumzia mambo yacyo na maana bcoz sijaona utofauti wa taaluma ya civil engeneering ya UDSM na vyuo vngne kama MUST, n.k kwasababu maprof. ni walewale na wamebobea ktk taaluma husika!
 
tofauti ipo kubwa sana.intake ya wanafunzi wa civil hapo CoET ni tofauti na vyuo vingine.wanafunzi wa hapo civil wengi wao wana matokeo mazuri ya form 6.trust me.direct from school wengi hupendelea kwenda CoET ila ushindani ndo huwa unawaangusha wengi na kuishia kuiponda udsm.
 
Back
Top Bottom