au utaniambia course kama geology engineering,petroleum geology,au actuarial science utazipata wap tofaut na udsm,then wasote kutafuta kazi kama IT wa IFM?
au utaniambia course kama geology engineering,petroleum geology,au actuarial science utazipata wap tofaut na udsm,then wasote kutafuta kazi kama IT wa IFM?
mbona hizo zote hata udom zipo na me nachukua mojawapo kati ya hizo
unazungumzia field....
Watu wanazungumzia ajira kijana
Nimesota sana na msuli yatima af ndo unambie kuna vyuo mnakata miez bila kumwona prof duuuuh ni shidah
mbona sekondary ilikuwa ikipita wiki mbili bila ticha kuingia darasani ilikuwa kitu cha kawaida, so sishangai kusikia hivo ndo maana kuna asistance lectures....... So so so.. Etc
mbona hizo zote hata udom zipo na me nachukua mojawapo kati ya hizo
Dah Ajira Ajira Ajira C Mchezo Bwana Yan Kupata Kaz Now A Days Imekuwa Kazi Sana Hasa Kama Cc Ambao Babu Zetu Walikimbia Umande Tunashda Sana Kwani Ivi Sasa Haijarishi Nini Unajua But Nani Unamfahamu?
Inasikitisha sana duuuuh
Jaman tubadilike kama digriii ni moja, PhD ni ileile
Kwel ndg cc tunatakiwa tuwe waelewa kuliko kuzungumzia mambo yacyo na maana bcoz sijaona utofauti wa taaluma ya civil engeneering ya UDSM na vyuo vngne kama MUST, n.k kwasababu maprof. ni walewale na wamebobea ktk taaluma husika!