mzee wa kismati
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 2,292
- 798
Mweny akil na anayejijua yeye msomi hawez kuongelea chuo kipi bora na kipi si bora.Ndio maana watanzania hatuendelei soma uje ujiajiri sio uajiriwe.Tena soma koz ambay unajua hata kama nisipo ajiriwa nitajiajir mwenyew.Enzi hizo nilishawah kufny interview na jamaa kutoka ud nk lkn nilichukuliwa mm ambay nimesoma chuo ambacho watu wanaviona hawafai.Nimefnya field TANAPA wanafnz wng wanaojidai kusoma vyuo flan walikua hawana jipya. SOMA KOKOTE KUWA SMART KWA KITU ULICHOKISOME. Utafanikiwa mengn bwembe tu.
ISM hawakunitupa,niliichagua,na baada ya kuona chenga nikaipiga chini nikaomba GM,nisome ISM nije nife maskini mimi,
acha uongo mkuu, kweli kuna graduate gani wa BE, CM, LMV, ARCHTECTURE, INTERIOR DESIGN, EE, GM ambae bado anakula ugali wa mama home!makampuni kibao yapo, serikalini nako uhitaji si haba
POINT!
Speak it loudly.
Ardhi hawatafuti kazi ila wanatafutwa wao kwa sababu ya upekee wao..sisi hatupigani vikumbo na IAA na IFM kutafuta kazi..kazi za course za ardhi bado zipo nyingi..ukitoa mifano yako naomba ARDHI uiweke pembeni..over