Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Salam kwenu wadau naomba kujua wapi naweza pata hiyo tiba tumsaidie mtoto mpendwa wa jamaa yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka miwil na miezHuyo mtoto ana umri gani?
Sawa kiongozi unamanisha hakuna tibA ya hivyoKuhusu ububu mkuu nafkiri kihospitali sijawai kusikia mtu katibiwa na kupona. Na pia sijui kama hata cause yake inajulikana kitabibu. Kwasabbu unakuta mtu mwingine anatoa anatoa sauti Fulani lakini hazina maana. Nafkiri hata ugugumizi pia huwa kitabibu hauleweki sana. Au ngoja waje watalaam
Jibu rahisi ni kupitia katk maombezi nenda ktk makanisa yanayofanya maombezi atapona
mma kama sh ngapi..yani gharama za kumtibia ?Miaka miwil na miez
Isizid mil 300mma kama sh ngapi..yani gharama za kumtibia ?
Sawa mtaalamu ko tiba Ya moja Kwa moja hakunamh hapa kigugumizi huenda na jinsi taarifa zinavyo kusanywa kutafsiriwa na kutumwa kwenye viungo husika vinavyotumika kutoa taarifa hiyo(mdomo,ulimi n.k) sasa hapo kitabibu sijui kama kuna namna yoyote ya kufanya ili kuwezesha taarifa inayotaka kutolewa isiwe na mkatomkato(kigugumizi)
kwa upande wa kutokusikia vyema labda vile vifaa vya kusaidia uwezo wa kusikia. jaribu kuwaona wataalamu mkuu
no mi sio mtaalam hayo ni maoni yangu tu waone wanataakuma wenyewe mkuuSawa mtaalamu ko tiba Ya moja Kwa moja hakuna
sasa hiyo si mmaenda kabisa scoan na mtoto anaponywa?Isizid mil 300
Kuhusu kusikia sijuiMiaka miwil na miez
Ngozi nyeusi kwa kupenda mteremkosasa hiyo si mmaenda kabisa scoan na mtoto anaponywa?
kama ni bubu na kiziwi kabisa ni vya kuzaliwa navyo na YESU pekee ndo wa kumponya.huko hospital mnaenda kumtesa na ma operesheni..sindano madawa..
kaka..kwa sikio kama mkitaka asikiw atafanyowa opereshen inaitwa cochlear implantation..Sawa mtaalamu ko tiba Ya moja Kwa moja hakuna