Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

Joined
Aug 9, 2021
Posts
15
Reaction score
5
Habari zenu wakuu,

Kuna kijana ana matokeo kama ifuatavyo.

Diploma in Clinical Medicine

GPA ni 3.9 kahitimu 2015.
O' level ana:-
B/Maths - A,
Physics - B,
Chemistry -B,
Biology - B na
English - C.
Kaomba vyuo vifuatavyo:-
SUZA- MD,
UDOM- MD,
UDSM- MD,
MUHAS- MD,
KCMUCo- MD na
CUHAS- Bugando - MD

Ana wasiwasi sana Je kuna uwezekano kuwa anaweza kupata ? Maana mwaka jana 2020/21 aliomba hakufanikiwa kupata round zote.
Mwaka 2020/21 aliomba kama ifuatavyo:-

UDOM- MD,
UDSM- MD,
MUHAS- MD,
SFUCHAS- MD,
KCMUCo - MD. Lakini hakufanikiwa kupata.

Je, Anaweza kupata mwaka huu?

Ushauri wenu pia ili aweze kutimiza ndoto yake.

Natanguliza shukrani.
 
Changamoto kweli same scenario ilimkuta ndugu yangu GPA iko chini kidogo ya hyo ila ana qualifications aliomba vyuo KCMC, CUHAS, UDSM, UDOM, SFUCHAS hakupata na anatokea diploma. Sahizi ameomba vyuo vyote had kairuki, SUZA, Kampala anasubiri majibu.
 
Shida ni kwamba yan vyuo vya diploma vimekua ni vingi saaaaana hususan hivi vya private’s na huko GPA zao unawezakuta karibu darasa zima wana above 4.

Na capacity ya vyuo vinavochukua MD kutokea diploma wanachukua idadi ndogo sana KWAHIO issue inakuja kwenye competition tu
Maybe labda ukafanye application physically labda inaweza ikasaidia.
 
Shida ni kwamba yan vyuo vya diploma vimekua ni vingi saaaaana hususan hivi vya private’s na huko gpa zao unawezakuta karibu darasa zima wana above 4.
Na capacity ya vyuo vinavochukua MD kutokea diploma wanachukua idadi ndogo sana KWAHIO issue inakuja kwenye competition tu
Maybe labda ukafanye application physically labda inaweza ikasaidia
aiseee hii inshu ni kweli ...watu wengi walosoma hasa vyuo vya government na vichache vya dini au mashirika gpa ni za kulenga na manati sana....
 
Ipo hivyo yan...mimi pia nimesoma CO government ninaelewa yan uhalisia
 
Competition ni kubwa sana kwenye course za afya na hii ni kutokana na uwepo wa vyuo vichache lakini pia unakuta kipaumbele wanapewa waliotoka direct form six.
 
Changamoto kweli same scenario ilimkuta ndugu yangu GPA iko chini kidogo ya hyo ila ana qualifications aliomba vyuo KCMC, CUHAS, UDSM, UDOM, SFUCHAS hakupata na anatokea diploma. Sahizi ameomba vyuo vyote had kairuki, SUZA, Kampala anasubiri majibu.
Duuh ! Hii kitu ni changamoto kwa wengi kumbe.
 
Shida ni kwamba yan vyuo vya diploma vimekua ni vingi saaaaana hususan hivi vya private’s na huko GPA zao unawezakuta karibu darasa zima wana above 4.

Na capacity ya vyuo vinavochukua MD kutokea diploma wanachukua idadi ndogo sana KWAHIO issue inakuja kwenye competition tu
Maybe labda ukafanye application physically labda inaweza ikasaidia.
Hii ya kufanya application physically inaweza kusaidia pengine ? Au kuna chances za upigaji tu.
 
Shida ni kwamba yan vyuo vya diploma vimekua ni vingi saaaaana hususan hivi vya private’s na huko GPA zao unawezakuta karibu darasa zima wana above 4.

Na capacity ya vyuo vinavochukua MD kutokea diploma wanachukua idadi ndogo sana KWAHIO issue inakuja kwenye competition tu
Maybe labda ukafanye application physically labda inaweza ikasaidia.
Hii ya kuapply physically inakuaje??
 
Duuh ! Hii kitu ni changamoto kwa wengi kumbe.
Mimi O level PCB nna BBA, DIPLOMA CO 3.8 miaka 4 nasota kupata admission, vyuo vya serikali yaani nikikumbuka naumia hlf nna mwamba yaani olevel div 4, diploma private 4.5 yupo Muhas Md mwaka wa 5 anaingia
 
Umeona sasa yan private’s ni mtelezo tuu yan gpa zakuokota
 
Mimi O level PCB nna BBA, DIPLOMA CO 3.8 miaka 4 nasota kupata admission, vyuo vya serikali yaani nikikumbuka naumia hlf nna mwamba yaani olevel div 4, diploma private 4.5 yupo Muhas Md mwaka wa 5 anaingia
Duuh! Hii ni shida wenye 3+ hawajafika 4.4+ watafanyaje sasa ? Au ndo imeisha hivyo ?
 
Mimi O level PCB nna BBA, DIPLOMA CO 3.8 miaka 4 nasota kupata admission, vyuo vya serikali yaani nikikumbuka naumia hlf nna mwamba yaani olevel div 4, diploma private 4.5 yupo Muhas Md mwaka wa 5 anaingia
Pole mkuu,jaribu vyuo vya private unaweza kupata...ila private safi sana ndo mfumo wa nch upo hvyo hii hata kwenye bachelor iko hvyo hvyo
 
Back
Top Bottom