Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

Kule hakuna kubebana mzee baba..ila Private ujanja ujanja mwingi
aiseee hii inshu ni kweli ...watu wengi walosoma hasa vyuo vya government na vichache vya dini au mashirika gpa ni za kulenga na manati sana....
 
Mmh mzee hebu muhoji vizuri hasa hiyo O level..haiwezekani
Mimi O level PCB nna BBA, DIPLOMA CO 3.8 miaka 4 nasota kupata admission, vyuo vya serikali yaani nikikumbuka naumia hlf nna mwamba yaani olevel div 4, diploma private 4.5 yupo Muhas Md mwaka wa 5 anaingia
 
Back
Top Bottom