Kwa graduate tu....


Sijajua kwanini umereact namna hii, kama concept ya graduate ina matatizo jieleze kwa utaratibu na ustaarabu utaeleweka braza.
 
Hapa ndo ninapoona umuhimu wa kusoma, nabaguliwa hata na wajasiriamali wenzangu?
Najipa moyo mkuu, SSB inasemekana alikuwa na elimu ya kawaida alipoanza ujasiriamali, nikimuorozesha mmoja kati ya wengi waliofanikisha ujasiriamali.

Sijakubagua kaka nishatoa maelezo ya wasiwas wako
 
Una hasira duuu!!! Kaeleza kwa nini graduate hapo juu.Kama nimemuelewa kasema ndio wenye matatizo makubwa ya kutochangamkia biashara kwa sababu ya mindset zao zimekaa kuajiriwa na vile vile wote wanakaribishwa

Nisaidie kaka huwa siasa siziwezi.
 
Mkuu tupo pamoja, chukulia kama changamoto ya kibiashara tu unapouza bidhaa, hapa unauza bidhaa "wazo lako" jinsi unavyolitetea na kulisimamia ndio tunaona ukomavu wa wazo hilo, kunyumbulika sio kitu kibaya, wazo zuri linatakiwa kunyumbulika kulingana na mazingira. Ukiwa miji mikubwa ni ngumu kuona kwa urahisi lakini kwenye miji ya kati mf. Iringa, wajasiriamali wakubwa wengi ni wa elimu ya kawaida, usiwasahau.
Kitu cha msingi weka japo dondoo ya unachotaka kukifanya.

Sijakubagua kaka nishatoa maelezo ya wasiwas wako
 
good idea kaka ebu tuwasiliane 0686399397.Goodluck
 
ya ndio iwe kwa wasomi tu hata hicho kikundi jinsi kitakavyo sajiliwa kipewe usajili kikitambuliwa
kama kinachomilikiwa na kuendeshwa na graduates tu Mtiro simama wima watu kama akina matola
kama wanawakilisha watu wasio soma basi wakae pembeni. Ameonyesha tabia na utovu wa nidhamu
katika thread inayowahusu graduates. vikundi viko vingi akajiunge na hicho ambacho kina sifa kama zake.
Nimeku-Pm namba yangu twende kazi.
 

Hivi wewe kiumbe darasa la saba siyo graduate?
 
Wewe Matola kama hukubahatika kusoma bora uachane na huu uzi kwa sababu unaonyesha wazi kuwa huna elimu inayozidi Secondary
 
Last edited by a moderator:
Wewe Matola kama hukubahatika kusoma bora uachane na huu uzi kwa sababu unaonyesha wazi kuwa huna elimu inayozidi Secondary

Jibu hoja acha viroja, kuna kusoma na kuelimika onesha usomi wako hapa. Graduate ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Swali la msingi linahitaji jibu, upana wa recruitment ujulikane, kama hamtojali jibu litapendeza zaidi.

Jibu hoja acha viroja, kuna kusoma na kuelimika onesha usomi wako hapa. Graduate ni nani?

wazo zuri la biashara ndogo lina sifa nyingi ikiwamo kudurufika hata kama kwa namna yeyote watu fulani hawataweza kujiunga nanyi kwa sababu zozote wanaweza kulitumia katika kundi dogo la peke yao. Nasisitiza umuhimu wa kuliweka wazo ubaoni.
 
Mi naona great idea, jamani jiungeni na jamaa,
 
We Masawe haumilik bastora kweli? Usije ukageuzia kibarua kwa share holders na hist ikabadilika makuuuu
 
Hili ni wazo jama sana .binafsi nilipokaa pia mud bila ajira nilifikiria kitu kama hiki,watu walikua muitikio mkubwa kwenye PM lakini ukiwaalika kwenye physical meeting hawaji ,kwa hiyo mkuu jipange na inawezekana kabisa all ze best!
 

Kaka nichek kwa 0768111123 tuunganishe nguvu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…