Jibu hoja acha viroja, kuna kusoma na kuelimika onesha usomi wako hapa. Graduate ni nini?
Thanx kaka,ninaimani tutayaweza yote katika yeye atutiae nguvu.Hili ni wazo jama sana .binafsi nilipokaa pia mud bila ajira nilifikiria kitu kama hiki,watu walikua muitikio mkubwa kwenye PM lakini ukiwaalika kwenye physical meeting hawaji ,kwa hiyo mkuu jipange na inawezekana kabisa all ze best!
Kwanza nianze kwa kukupongeza ni good IDEA.
Pili, ningependa kukushauri ingekuwa vizuri kama ungewasiliana na rafiki zako kwanza wa chuoni kwako, lakini kama umemalizia chuo nje ya nchi basi huna budi kufata utaratibu huu.
Tatu, kwenye kuunda hii timu yenu zingatia uhodari/ujuzi au vipawa zaidi kuliko kubeba mtu sababu ni university graduate.
Nne nakutakieni mafanikio na hii iwe mfano kwa vijana wengine wote wanaomaliza elimu ya juu, japokuwa najua si kosa lao sababu elimu ya vyuo vikuu vingi Tanzania haviwaandai vijana wetu kikamilifu kupambana katika karne hii ya 21.
Mwisho usisikilize ya watu tilia mkazo kwenye IDEA yako unless mtu aje na hard factual business/economic evidence to suggest that idea is not viable.
Graduate
(noun) someone who has completed a university degree, especially a first degree
(verb); to obtain a degree, especially a first degree, from a college or university:
umecopy na ku paste toka Oxford dictionary je utaendelea na kucopy hata busness plan?
Unadhan kila mtu anahitaji plan. Wengine tumezikuta na zinaendelea!!