Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Ukiangalia Picha unajua sio yule Bashite mwenyw nyodo na kujiini kupitiliza
Mkuu, nimekuwa najiuliza ni vipi labda maeneo ambayo tangia enzi za mkoloni hadi Mwalimu Nyerere yalitengwa kama strategic public areas baadae yamemegwa na kupewa watu binafsi kwa matumizi ya ovyo ovyo, mfano maeneo ya wazi ya bandari, reli na hata taasisi nyeti za elimu.
Sasa ndio naanza kuprove nilichokidhania tangu mapema ....kuamini kuwa vyeti na elimu sio muhimu bali 'utendaji', ndio vimesababisha haya yote. Kibaya zaidi ni kukuta kuna watu bado wanatetea haya!
 
Wow!

Good one there ma man!

Ila na TBC nao inabidi watuombe radhi Watanzania kwa kututangazia uongo kuhusu rais Trump.
Tanzania tuna matatizo zaidi ya tunavyodhani!

Mimi nilipoona ile habari ya TBC nilicheka sana na kusikitika lakini nikajiuliza kama chombo cha habari cha taifa kinachoongozwa na ''wasomi'' kinaweza kuingia kwenye ''mkenge'' wa habari kama hizo, itakuwa vipi kwa mwanakijiji aliyeko Ikungulyabashashi! Lol.

Hizi fake news kwa sasa zinasumbua hata mataifa yanayoitwa ''yameendelea'' lakini tofauti yake ni namna zinavyotengenezwa kwa umakini siyo kama hii habari ya TBC ambayo mtu mwenye common sense atafahamu ni fake news.

Hiyo habari ya Tanzania Daima chanzo chake ni huyo mwanamama kwenye signature yako!

''Unabisha nini wakati Mange Kimambi ametuambia''
 
Gazeti la CDM la kusambazia UNAFIKI !

Hahahahahaha ameitwa kuja kuchukua barua ya kumtaka alete vyeti.Gazeti la Umbea na Ukuwadi ni Uhuruna Mzalendo.Magazeti ya chama cha Majipu.
 
17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg
17190714_1392690060794972_5029664959228244805_n.jpg

17203022_1392690067461638_1167658439358951614_n.jpg

Mwambie alete vyeti. Hata cha darasa la saba hana.
 
Mkuu, nimekuwa najiuliza ni vipi labda maeneo ambayo tangia enzi za mkoloni hadi Mwalimu Nyerere yalitengwa kama strategic public areas baadae yamemegwa na kupewa watu binafsi kwa matumizi ya ovyo ovyo, mfano maeneo ya wazi ya bandari, reli na hata taasisi nyeti za elimu.
Sasa ndio naanza kuprove nilichokidhania tangu mapema ....kuamini kuwa vyeti na elimu sio muhimu bali 'utendaji', ndio vimesababisha haya yote. Kibaya zaidi ni kukuta kuna watu bado wanatetea haya!

- Mada hapa ni GAzeti kuandika habari ya uongo sio anything else ok!

le Mutuz
 
Bora hata Tanzania daima waliosema Makonda kachukua likizo ya miezi miwili. Kesho watasema Makonda akatisha likizo yake Na kurejea nyumbani kufungua barabara. Wale TBC sijui watasemaje kuhusu habari Yao ya uwongo kuwa RAIS Trump amempongeza magufuli.
 
17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg


- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana

le Mutuz
Kwani hawezi kukatisha likizo na kurudi kazini??

Wee unajua sana mambo ya Daudi Albert Bashite.. Unalala nae chumba kimoja??

Rudi IG kawadanganye wale wapuuzi wanakushangilia tu.

Hopeless kabisa.
 
Kwa kiburi cha mtukufu, kama alikuwa na mpango wa kumfuta kazi huyu jamaa ameghairi.. Yupo sana jamaa tuendelee tu kukumbusha vyeti kila anapotokea kwenye hafla za kazi yake.. Mtukufu hana mfano lol..
 
Hapo ndio ujue yeye na baba yake wanatumia sana JF, kwa jinsi watu walivyohoji urefu wa likizo yake, lazima ajichomoe!
 
Kwani una sheria inayokataza mtu kukatiza likizo.!?
Mimi binafsi nishakatiz likizo zangu mara nyingi.
Kakatiza ghafla kuepuka maneno---hukumbuki lile katazo la mkuu safari za nje?
 
Kwani hawezi kukatisha likizo na kurudi kazini??

Wee unajua sana mambo ya Daudi Albert Bashite.. Unalala nae chumba kimoja??

Rudi IG kawadanganye wale wapuuzi wanakushangilia tu.

Hopeless kabisa.

- duh kumbe wewe ndiye uliyempa likizo aliyoikatiza? hahahahahhahahaa

le Mutuz
 
Back
Top Bottom