Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg
17190714_1392690060794972_5029664959228244805_n.jpg

17203022_1392690067461638_1167658439358951614_n.jpg
granted but on the flip side, inawezekana kabisa (and I strongly believe that to be the case) kuwa hii whistleblowing ya Tanzania Daima ndiyo imepelekea mtu kutinga timu mjini mapema baada ya kuona imekuwa so.
 
Yawezekana kakatiza likizo baada ya vikao vya CCM kuridhia mabadiliko ya katiba na hivyo kubariki matendo kama ya ufojaji wa vyeti na majina ili kuwalinda makada wake ambao wengi wanatuhumiwa kufanya hivyo.

Kumbukeni kuwa swala la kuungaunga masomo ni zito na kuna wanaodaiwa kupoteza maisha baada ya kuvalia njuga swala hilo wakihoji vyeti vya wakuu fulani fulani. Hata Ndalichako pia inaonekana kasalaimu amri ili vilaza wanaotuhumiwa kutumia vyeti vya kufoji wasiendelee kubughudhiwa.

...hongereni sana CCM ingawa hii bado ni tetesi tu kwa sasa!
 
- Great thinker unaandika hoja inayoanza na inawezekana?

le Mutuz
 
Dah! Pole sana na jitihada za kumsafisha Bashite ila ukikaa peke yako lazima nafsi inakusuta.
 
Yawezekana kakatiza likizo baada ya vikao vya CCM kuridhia mabadiliko ya katiba na hivyo kubariki matendo kama ya ufojaji wa vyeti na majina ili kuwalinda makada wake ambao wengi wanatuhumiwa kufanya hivyo.

Kumbukeni kuwa swala la kuungaunga masomo ni zito na kuna wanaodaiwa kupoteza maisha baada ya kuvalia njuga swala hilo wakihoji vyeti vya wakuu fulani fulani. Hata Ndalichako pia inaonekana kasalaimu amri ili vilaza wanaotuhumiwa kutumia vyeti vya kufoji wasiendelee kubughudhiwa.

...hongereni sana CCM ingawa hii bado ni tetesi tu kwa sasa!

CCM Mbele kwa Mbele!!!

W. J. Malecela vipi kampeni ya vyeti feki itaendelea?
 
Mkuu kwa kuwa kuwa upo karibu na waziri wa habari naomba umshauri alishitaki hilo gazeti
Bila ya kufanya hivyo itaaminika jamaa kakatiza likizo ili kuua soo

- Ushahidi wa kuwa alikuwa likizo upo wapi by the way?

le Mutuz
 
@W.J.Malecela lepumbuz hujui kufunga domo lako? umri umekata ringi huna hata mke hovyooo
Kazi kulala hotelini tu hivi huna aibu?
Miaka yote hiyo na upedeshee hapa mjini. huna hata pa kulala? unalala hotelini
Unazeeka vibaya ati
Unazeeka una hata chumba cha choo mjini ulichojenga
Usiyekua na bahati na unazeeka vibaya huna hata godoro la nchi moja kwa sita
kalalee
 
Upambe mbaya sana cha msingi vyeti vionyeshwe ili mkweli na mwongo ajulikane so kama ni close friend mwambie aweke vyeti mezani
 
- Kwanza tumalize ya hii mada yaani gazeti lenu kuandika habari za uongo

le Mutuz

Gazeti langu mimi na nani?

Likizo mtu anaweza kwenda na akaikatisha vile vile, hakuna ambaye hajui kwamba Makonda yuko kwenye tension juu ya hili swala la vyeti feki, so anajaribu kila analoweza kupotezea.

BTW, last time wewe uliripoti kwamba Makonda atakuwa mgeni rasmi siku ya wanawake duniani na jamaa hakutokea ila ukafuta posts Insta bila maelezo yoyote.

Turudi kwenye vyeti, Makonda bado ana audacity ya kuzungumzia wafanyakazi hewa (+wasio na vyeti) kwenye mkoa wake?

Rais bado ana audacity ya kuzungumzia wafanyakazi hewa (+wasio na vyeti) kwenye Taifa lake?

Otherwise, tunasubiri either Makonda a-resign au Rais ambadilishie kazi.
 
Back
Top Bottom