Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Muiambie na TBC iombe radhi kwa kudanganya watanzania kwamba Trump kamsifia rais Wenu
GSM wameahidi kumpeleka Lemutuz India kwa ajili ya matibabu ya fangasi sugu iliyotapakaa hadi kwenye ubongo wake.
Lemutuz mwenye utoto wa darasa la nne, naona leo ulikuwa mpiga picha wa Makonda ha ha ha utoto huachii??
Kweli Tanzagiza ni bonge la page dah mpaka mnaijadili eeehWa upande ule wanalipenda, wakipita Tanzagiza baadae kwenye hichi kijarida wanajiskia raha, hasa kipindi hichi ambacho viroba vimefutwa.
Wazili wa habari alisema tuwe huru kuikosoa serikli.. sasa gazeti limeanza kutimiza kauli ya napeTuwaulize watwambie miezi miwili imeisha lini?
Sie twalala raha mustarehe yakhe Bashite ndiye ashinda kujiliza madhabahuniGeneral Paul Makonda anawanyima Usingizi Mateja
Tuliaa we na kaa kimyaa- Please usiharibu mada yangu kama unataka mambo ya vyeti fungua thread yako please
le Mutuz
Viroba vinawasumbua sana bavichaHalafu hakuna kitu kibaya pale ambapo unaona Watu wamekuzunguka na kama vile wanakutii kumbe moyoni wanakung'ong'a tu bashite....bashite.....bashite.....zero brain.....zero brain.....zero brain......cheti feki.....cheti feki.....cheti feki......kulia lia......kulia lia.....kulia lia.
HAPA CHETI KWANZA KULIA MSIBANI!
hebu uko zee zima usitumalizie pumzi tupishe usije ukakosa pa kukimbilia....
Mzee wa degree tatu unamtetea mbulura alozungusha form four...yaani darasa la saba...hutakaa kamwe uzungumzie issue ya elimu cause itamgusa...Bashite moja kwa moja- Please usiharibu mada yangu kama unataka mambo ya vyeti fungua thread yako please
le Mutuz
Kwani hawezi kukatisha likizo na kurudi kazini??
Wee unajua sana mambo ya Daudi Albert Bashite.. Unalala nae chumba kimoja??
Rudi IG kawadanganye wale wapuuzi wanakushangilia tu.
Hopeless kabisa.