Kakatiza likizo? Ingekuwa gazeti la leo kweli.
Kakatiza likizo? Ingekuwa gazeti la leo kweli.
Acheni wivu basi wakuu! Trump amemsifia sana Magu tena hadharani kabisa na akathibitisha kabisa hana shida na watanzania wanaoishi Marekani kwa vile wana Rais jembe. Hivi ulimsikiliza Gabriel Zakaria alivyokuwa anatangaza kwa mvemve?Wow!
Good one there ma man!
Ila na TBC nao inabidi watuombe radhi Watanzania kwa kututangazia uongo kuhusu rais Trump.
Ila hawara yako ana roho ngumu aisee,, amerudi tena mjini na hilo zigo la fafafafafafa? Inapendeza sana mtu ukiwa huna uso wa kuona aibu!!
Mkuu uko serious au unatania..?!Acheni wivu basi wakuu! Trump amemsifia sana Magu tena hadharani kabisa na akathibitisha kabisa hana shida na watanzania wanaoishi Marekani kwa vile wana Rais jembe. Hivi ulimsikiliza Gabriel Zakaria alivyokuwa anatangaza kwa mvemve?
Ha ha ha haaa, MasterP kinyume chake ni sahihi!Mkuu uko serious au unatania..?!
Kama uko serious hebu tuwekee hiyo clip tuione..
we mh.tulia.vyeti vya huyo jamaa kwanza mengine baadae.! kila kona tutadai vyeti....chooni kanisani shuleni kwenye basi kwenye mikutano tutaendelea kudai vyeti .wewe waona vema jamaa aendelea kupeta kwa vyeti vya sauli? ni halali? ndio malezi- Please usiharibu mada yangu kama unataka mambo ya vyeti fungua thread yako please
le Mutuz
Fact!
Kaahirisha huyo kuua soo...
thibitisha km kapiga u.turn!,Acha umburura wewe tumia walau akili kidogo, unafikiri likizo ni sawa na kwenda mbinguni kwamba siku ya kiama ndo atarudi? binafsi naweza kuomba likizo halafu nikapiga u.turn kutokana na circumstances mbalimbali, we ni mtu mzima ila unatia aibu kwa utetezi wako, kutetea ni haki yako lakini tumia walau logic kidogo, baki kwenye ishu ya msingi acha ku.argue kama kindergarten
- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana
le Mutuz
Na mzarendo pia mkuu naona umelisahau.magazeti aina ya "Tanzania Daima" na yale mengine. ni mazuri kwa kuchambia. maana yanakuwa na habari nyepesi kama toilet paper yenyewe.
Kwani una sheria inayokataza mtu kukatiza likizo.!?
Mimi binafsi nishakatiz likizo zangu mara nyingi.
Ni kwa kuwa hata wamiliki wa blog nao "wamejibatiza" kuwa waandishi wa habari! Huyo Le Mutuz ni wa kupuuzwa tu!Kuweka kumbukumbu sawa, si nasikia hiyo habari ya miezi miwili ilinakiliwa kutoka kwa kiongozi mwenzake kupitia radio iliyotaka kujua kama angelihudhuria sherehe za siku ya wamama!?