KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Wote wamedanganya umma- sasa TBC na Tanzania Daima wanahusiana kivipi?
le Mutuz
Wote wamedanganya umma- sasa TBC na Tanzania Daima wanahusiana kivipi?
le Mutuz
HahahaAcheni wivu basi wakuu! Trump amemsifia sana Magu tena hadharani kabisa na akathibitisha kabisa hana shida na watanzania wanaoishi Marekani kwa vile wana Rais jembe. Hivi ulimsikiliza Gabriel Zakaria alivyokuwa anatangaza kwa mvemve?
Unachambiaje gazeti mkuu?magazeti aina ya "Tanzania Daima" na yale mengine. ni mazuri kwa kuchambia. maana yanakuwa na habari nyepesi kama toilet paper yenyewe.
Na TBC nayo ni wakurupukaji tena wa kiwango cha mwendo kasi.Kigazeti cha kukurupuka
We mbona unamshobokea sana mwanaume mwenzio au we ni shoga?!! Halafu kubwa zima jitu una zaidi ya miaka 56 halafu unajiita uvccm ka senge vile!!! Le mpumbuz!!! Le big pumbuz!!
Mkuu umempa za uso! Litakuwa siyo riziki hilo wewe jitu limezeeka halina hata watoto? Aibuuuuuuuuuuu!! Eti linajidanganya kwamba life begins at 60s!We mbona unamshobokea sana mwanaume mwenzio au we ni shoga?!! Halafu kubwa zima jitu una zaidi ya miaka 56 halafu unajiita uvccm ka senge vile!!! Le mpumbuz!!! Le big pumbuz!!
Asante sana Mkuu,Kuweka kumbukumbu sawa, si nasikia hiyo habari ya miezi miwili ilinakiliwa kutoka kwa kiongozi mwenzake kupitia radio iliyotaka kujua kama angelihudhuria sherehe za siku ya wamama!?
Wewe ni mauharo kanunue kigazeti chenu cha Uharo aka Uhuru.Aibu yao...sinunui tena haka kagazeti.
mmiliki wa TBC ni nani?je nae zero au utakuja na mtazamo wa kibashite ?Unategemea nini Mmiliki Ni ZERO
Gazeti liweje!!
Mtalaumu bure
Sasa hivi umeshakuwa kama joka la kibisaWape wape hao
Makonda oyeeeeeeeee
Mwanaidi Kamese yuko tayari kutoa ushahidi, anamfahamu Daudi Bashite aliyefeli darasa la nne Shule ya Msingi Kolomije na kwenda kuendelea na darasa la tano Mwanza.
Hivi Le Mutuz Jumanne Malecela ni mtu wa jinsia gani? Ni ngumu sana kumtambua kama ni me au ke!![]()
- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana
le Mutuz
Hamna haja ya kujaza server kwa thread zinazofananaAnzisha thread yako ya tbc hapa ni ya tanzania daima
Hao jamaa waliosimamishwa nawaonea huruma maana hawaajiriki sehemu nyingine, ingelikuwa wametoka kituo kigine kinacho base kwenye competitiveness, innovation and creativity wala hawaangaiki!Asante sana Mkuu,
VP unajua chochote kuhusu TBC, Trump na Mkuu wetu?[emoji1]