Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,022
MWANAHALISI pia wame andika kwa undani kuwa Jina la Mkuu wa Mkoa ni Daudi Albert Bashite na si Paul C. Makonda!! Na simu ya baba yake imesajiliwa kwa jina Bashite.
Yawezekana Mtanzania Daima ina muongelea Paul Makonda Original na si huyu FEKI.
Swali: Je hawa nao wameandika habari za uongo? Make mhusika hajakanusha wala kukiri?
Yawezekana Mtanzania Daima ina muongelea Paul Makonda Original na si huyu FEKI.
Swali: Je hawa nao wameandika habari za uongo? Make mhusika hajakanusha wala kukiri?