Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg
17190714_1392690060794972_5029664959228244805_n.jpg

17203022_1392690067461638_1167658439358951614_n.jpg
Tatizo mnasahau sana CCM baada ya makaretii yenu.Majibu ya haraka kuwa yupo likizo.Sasa karudi hamjui nini mmekosea. Kweli CCM wanatembelea kucha .Wana majibu ya harakahara kila siku ,hawana hata muda wa kukumbuka jana walijibu nini na leo wanajibu nini na wanafanya nini
 
Le mutuuzi upo Mkuu wa KAZI. Mwana kajaa bongo waache warukeruke.
 
Vyeti feki ' mapambano feki ,kiki feki yani wee bashite Mungu anakuona ..... kama mtukufu rais umeweza kumuhadaa utashindwaje kuongoza mapambano feki pia ?
 
We kubwa jinga mbona ujaomba watanzania radhi kwa kudanganya kuwa basha wako katunukiwa PhD south Afrika. Lizee kama wewe kwanini unajipendekeza hivyo?
 
Le mutuz,as a brand you are finished-ulijitahidi sana,but in the end njaa yako imekuwa your undoing.Kwenye vita ya unga,instead ya kuchukua middle of the road approach,in broad daylight ukachukua uhakimu na kuwakana akina Majizzo-leo hii this man is free,how do you look him in the eyes.???? As a captain you abandoned a ship which was not sinking-Issue ya Bashite ndio imekuacha naked kabisa-the whole world imestuka that all is not well,wewe umekomalia. IF I was Davis M,i would cut my losses and abandon hiyo Swahili tv-reputation yako is in tatters-you no longer command respect,in the eyes of many you just an opportunist,who in the end did not play your cards right
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji121]
 
Huyu Le Mutuz naambiwa na mtoto wa Mzee Malecela, ni kweli? Mara nyingi hoja zake huwa shallow sana. Hafanani na mtoto ambaye ungetegemea amekulia na kulelewa kwenye mazingira yanayoendana na mzee Malecela. Picha huonekana ni mtu mzima lakini akiandikacho hufanana na kinachotoka kwa under 20.
Mbona ata wewe Hoja zako, zinaonekana kua za kishabiki tu.. Ishu ya ujenz wa Hoja akuna uhusiano na umelelewa na nani
 
Wadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.

Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.

Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
 
Back
Top Bottom