Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

17264702_718775568304844_5261692279740083297_n.jpg
17190714_1392690060794972_5029664959228244805_n.jpg

17203022_1392690067461638_1167658439358951614_n.jpg
Tanzania daima haina haja ya kuwaomba radhi kwakua, ni kweli. Le makondaz ana likizo ya miezi 2,

aliekuwepo Leo ni Daudi Bashite, huyu asie na komfidensi kama alivyo makonda na huyu daudi ni orijino hajafoji cheti.

Pia suppose,.. hata kama ingekua kweli: swala la safari, MTU husika ndiye anaweza kuhairisha ama kukatiza muda alioupanga kwa sababu maalumu.

Kama vile Le makonda alivyohairisha kuwepo kama mgeni rasmi wa SIKU YA WANAWAKE DUNIANI pale mwembe Yanga ambalo MEDIA ziliandika kua angekuwepo, hata hivyo tunashukuru kwakua makonda bado yupo kwa madiba katika likizo...

Picha zinaonyesha, Kamuachia bashite azindue Barabara za vichochoroni.

Naff said
 
weka cheti hapa kukata utepe hakusaidii kama upo clean
 
Tukiamua kuwataka waweke matokeo yao hapa hutakaa uwaone na umbeya wao. Wanachongoa kama vikasuku vile




Nashauri uwatuhumu hadharani halafu tuone kama hawatakuja na ushahidi wa vyeti vyao kuthibitisha elimu yao...!!
Bashite katuhumiwa...alete vyeti kuthibitisha uongo wa tuhuma zinazomkabili...!!






Tafakari...!!
 
Jifunze maana ya Good Communications mada ni uongo wa gazeti ok!

le Mutuz



Unapojenga hoja, matumizi ya rejea ni ya muhimu sana kuipa nguvu hoja yako...!!
Mada ni UONGO WA GAZETI...REJEA NI UONGO WA MAKONDA...!! LABDA KAMA NA WEWE HUJUI MAANA YA GOOD COMMUNICATIONS...!!






Tafakari...!!
 
Huyo Daudi Bashite unayekesha kumtetea si alienda kweli Sauzi kwa akina Kinje halafu kaona upepo wa vyeti umepungua kaamua kurudi kimyakimya km paka wa uswahilini

Kwanza umesoma tu kichwa cha habari bila kusoma habari kamili....vyombo vya habari vinavyoongoza kwa uongo na propaganda ni uhuru na TBCcm

Na ni ww uliyeeneza uongo kwamba kabashite kamepewa Phd Sauzi
Kwakuwa tbc waongo na tanzania daima nao wameamua kuwa waongo?
 
Ww ule usanii wa kuzindua Barbara ya kwenda nyumbani na Godown Kwa boss wake nayo ni Kazi ya kitaifa[emoji3][emoji3] . Kwani likizo si huwa watumishi wengi wanakatisha na kurudi maofisini? Tunajua alikimbia mkutano wa dodoma uliomalizika leo.
 
Mkuu wewe mbona unatudanganyaga na msamaha huombi ulitudanganya kuhusu picha ya Makonda na sanamu imetengenezwa wakati tuliiona kwenye profile yake mwenyewe. Ukatudanganya kuhusu kuwepo kwenye siku ya wanawake duniani, ukatudanganya kapewa PhD. Kwakweli wewe si wakuomba uombwe msamaha!!
 
Back
Top Bottom